Jamani hata mwaka hajamaliza mnaanza kuanza mwaka 2020.Hali tuliyonayo mpaka sasa ni tete ,acheni mambo ya siasa tuongelee hali ya uchumi na namna ya kuweka uchumi kuanzia kaya kuwa katika hali ya usawa.
Mi kama nimesikia tofauti Jamani. Kwa wale wote waliojiandikisha na wako nje ya vituo vyao waende kurekebisha Taarifa zao kwa Mkurugenzi wa Wilaya husika. Hawataruhusiwa kupiga kura moja tuu Yaani ya urais bali watapiga zote tatu baada ya kubadili Taarifa. Ndivyo nilivyoelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.