Big Salute kwa Nabii TB Joshua Na nabii Josepht Mwingira, Kwa Kumchonga vema Magufuli

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
Mie binafsi nimeshuhudia mara kadhaa uwepo wa Dr magufuli ndani ya hekalu la EFATHA ministry, Mwenge. Na hasa katika session ya maombi ya vita, jamaa alikuwa anawajibika vema. Na pia akiwa Jijini lagos ndani ya the Synagogue la TB Joshua, Nimemshuhudia mara tatu, kupitia Runninga yangu.
Ok. Dr. magufuli amebadilika sana. Nimemfuatilia katika kampeni hizi za Urais-Kuanzia akiwa Tanga, moro, Gairo, Chigoma, Muleba na leo Geita, kwakweli hutba zake zimetulia sana, zina-touch.
( ni maoni yangu tu kama mwana JF, taf musinihukumu)
Ukweli ni kwamba, watu wanaojihudhurisha katika huduma za Kitume na kinabii, huwa wana-change their mind set, jus like this Lad.

Thank you Apostle Mwingira, and Prophet TB Joshua, wamemchonga vzr, kiroho na kimwili.
Alikuwa jeuri sana
 
The bible says, not everyone who says LORD belongs to CHRIST. Those who belong to CHRIST will never boast about their health, but rather they humbly understand that health is a gift from GOD and do not mock those who are weak in the body. Those who belong to CHRIST are humble and contrite in spirit, they would by no means manipulate people minds by lying to them that if they elect the opposition, then there will be blood shed, those who belong to CHRIST are not rude and will never mention people that they should swim to cross over to the island if they cant afford transport costs.
 
Acha uzushi wako hapa, kama hao manabii ndio wamemfanya hivi Magufuli basi nadhani hapo kuna kasoro KUBWA sana.

Kwa mfano Magufuli Wa sasa amekuwa
1/MWONGO SANA(Anasema watanzania wakichagua UKAWA nchi itaingia vitani nk).

2/MZUSHI MKUBWA(Anasema rais Kuwait ni Sadam Hussein)

3/MWIZI MKUBWA(Ameiba Slogan na nembo ya CHADEMA ya M4C, Mabadiliko, People's power nk)

4/MNAFIKI MKUBWA(Anasema akiingia madarakani atawafukuza mafisadi ila kwa sasa anawapigia kampeni washinde).

5/MSHIRIKINA MKUBWA(Alikuwa Bukoba juzi na kwenda kurudia kuongoza maombi ya misa ya wafu kwa MTU aliyekufa na kuzikwa tayari, hiyo kitu hata Kikatoliki haipo)

6/MFITINI MKUBWA(Anaona fahari kusimama jukwaani kuona watu wakisema Lowassa asichaguliwe kwa sababu ni mgonjwa na huenda akafa wakati wowote, Hakuna dini ya mwenyezi Mungu inayoweza kufurahia kuona binadamu anaugua na watu wanashangilia).
 
Afu ukiwa muongo uwe makini sana, hebu nitajie tarehe ambayo Magufuli alifanya mkutano Gairo, Magufuli hajafanya mkutano Gairo kama unabisha lete ushahidi hapa
 
Mie binafsi nimeshuhudia mara kadhaa uwepo wa Dr magufuli ndani ya hekalu la EFATHA ministry, Mwenge. Na hasa katika session ya maombi ya vita, jamaa alikuwa anawajibika vema. Na pia akiwa Jijini lagos ndani ya the Synagogue la TB Joshua, Nimemshuhudia mara tatu, kupitia Runninga yangu.
Ok. Dr. magufuli amebadilika sana. Nimemfuatilia katika kampeni hizi za Urais-Kuanzia akiwa Tanga, moro, Gairo, Chigoma, Muleba na leo Geita, kwakweli hutba zake zimetulia sana, zina-touch.
( ni maoni yangu tu kama mwana JF, taf musinihukumu)
Ukweli ni kwamba, watu wanaojihudhurisha katika huduma za Kitume na kinabii, huwa wana-change their mind set, jus like this Lad.

Thank you Apostle Mwingira, and Prophet TB Joshua, wamemchonga vzr, kiroho na kimwili.
Alikuwa jeuri sana

Utafiti wenu wa ndani wa twawezeshwa umesema ni wajinga na wazee ndo wanaipenda ccm ya magufuli...naona wewe utakuwa kundi la wajinga...kusema ukweli mmetukanwa lol
 
Huyo Magufuli Hana Hoja Wala Sera
Ameshindwa Kufanya Siasa Safi
Anaafanya Siasa Za Matusi Yaani Msukuma Anamtusi Lowassa Wazi Kabisa Tume Inasikia
 
Kutokana na 'hali halisi' ya ndugu yetu lowasa, napendekeza tuchague madiwani wote na wabunge wote upinzani lakini urais tumpe Magufuri, ataongoza kwa shida sana lakini sisi tutanufaika sana. ni maoni tu, kama mtanzania huru.

Tusilazimishe mapenzi ya kizungu, ya kubusu maiti!
 
Mie binafsi nimeshuhudia mara kadhaa uwepo wa Dr magufuli ndani ya hekalu la EFATHA ministry, Mwenge. Na hasa katika session ya maombi ya vita, jamaa alikuwa anawajibika vema. Na pia akiwa Jijini lagos ndani ya the Synagogue la TB Joshua, Nimemshuhudia mara tatu, kupitia Runninga yangu.
Ok. Dr. magufuli amebadilika sana. Nimemfuatilia katika kampeni hizi za Urais-Kuanzia akiwa Tanga, moro, Gairo, Chigoma, Muleba na leo Geita, kwakweli hutba zake zimetulia sana, zina-touch.
( ni maoni yangu tu kama mwana JF, taf musinihukumu)
Ukweli ni kwamba, watu wanaojihudhurisha katika huduma za Kitume na kinabii, huwa wana-change their mind set, jus like this Lad.

Thank you Apostle Mwingira, and Prophet TB Joshua, wamemchonga vzr, kiroho na kimwili.
Alikuwa jeuri sana

Tatizo ilo kabila lake la ccm ndo hatulitaki.maskini pombe tunamwaga.
 
watu tuna taka sikiliza sera maku fulii unatupigia pushapu za kazi gani sasa ccm kweli hamna mapya mkafie kule
 
Kwa bahati mbaya Mtume wote hao watabiri Lowasa kuingia Ikulu na sio Makufuli. Tafuta clips za Mwingira humu ndani utazipa..
 
The bible says, not everyone who says LORD belongs to CHRIST. Those who belong to CHRIST will never boast about their health, but rather they humbly understand that health is a gift from GOD and do not mock those who are weak in the body. Those who belong to CHRIST are humble and contrite in spirit, they would by no means manipulate people minds by lying to them that if they elect the opposition, then there will be blood shed, those who belong to CHRIST are not rude and will never mention people that they should swim to cross over to the island if they cant afford transport costs.
Umenena vyema.
 
Mie binafsi nimeshuhudia mara kadhaa uwepo wa Dr magufuli ndani ya hekalu la EFATHA ministry, Mwenge. Na hasa katika session ya maombi ya vita, jamaa alikuwa anawajibika vema. Na pia akiwa Jijini lagos ndani ya the Synagogue la TB Joshua, Nimemshuhudia mara tatu, kupitia Runninga yangu.
Ok. Dr. magufuli amebadilika sana. Nimemfuatilia katika kampeni hizi za Urais-Kuanzia akiwa Tanga, moro, Gairo, Chigoma, Muleba na leo Geita, kwakweli hutba zake zimetulia sana, zina-touch.
( ni maoni yangu tu kama mwana JF, taf musinihukumu)
Ukweli ni kwamba, watu wanaojihudhurisha katika huduma za Kitume na kinabii, huwa wana-change their mind set, jus like this Lad.

Thank you Apostle Mwingira, and Prophet TB Joshua, wamemchonga vzr, kiroho na kimwili.
Alikuwa jeuri sana

Acha kukurupuka,ujinga umekujaa,unajua ulichokiandika?acha kukariri.ushabiki usikufanye kuwa mtumwa wa siasa ovyo .
 
Mie binafsi nimeshuhudia mara kadhaa uwepo wa Dr magufuli ndani ya hekalu la EFATHA ministry, Mwenge. Na hasa katika session ya maombi ya vita, jamaa alikuwa anawajibika vema. Na pia akiwa Jijini lagos ndani ya the Synagogue la TB Joshua, Nimemshuhudia mara tatu, kupitia Runninga yangu.
Ok. Dr. magufuli amebadilika sana. Nimemfuatilia katika kampeni hizi za Urais-Kuanzia akiwa Tanga, moro, Gairo, Chigoma, Muleba na leo Geita, kwakweli hutba zake zimetulia sana, zina-touch.
( ni maoni yangu tu kama mwana JF, taf musinihukumu)
Ukweli ni kwamba, watu wanaojihudhurisha katika huduma za Kitume na kinabii, huwa wana-change their mind set, jus like this Lad.

Thank you Apostle Mwingira, and Prophet TB Joshua, wamemchonga vzr, kiroho na kimwili.
Alikuwa jeuri sana

To hell with your ccm
 
sera zikiisha matokeo yake ndio haya...
hata ingekuwa kweli basi wa kutukuzwa ni Mungu na si mwanadamu.
 
Back
Top Bottom