Recent content by Arie power

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nimemtafuna Daktari aliyenitibu gono

    Kwa akili hii, acha Ccm iendelee kutawala miaka 1000.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

    Nilisikia tu watu wanasema kuwa nimeachwa😂
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kaka uliyepandia Dodoma jioni basi la frester iliyotoka Bukoba ijumaa tarehe 30.11.2018nitafute

    Kwa sasa hana smart phone na namba yake ndio hiyo aliiandika mwenyewe
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kaka uliyepandia Dodoma jioni basi la frester iliyotoka Bukoba ijumaa tarehe 30.11.2018nitafute

    Sijajua mkuu lakini ndio namba aloandika mtoa tangazo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kaka uliyepandia Dodoma jioni basi la frester iliyotoka Bukoba ijumaa tarehe 30.11.2018nitafute

    Kaka mwembamba mrefu wastani, mweusi ulipandia Dodoma bahati mbaya hujui jina langu wala sijui jina lako,ulishika reflekta ya kijani mkononi simu yako ilizima chaji ukaniomba Usb wire lakini ukashindwa kuchajia ndan ya gari palijaa. Tulifika gairo ambapo ndo gari zililala pale ukaniachia simu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ben Kiko yu wapi jamani?

    Alishafariki kitambo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza demu wiki moja tu kaenda kuwatangazia ndugu zake kapata mchumba

    [emoji2][emoji2][emoji2]hii kali
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza demu wiki moja tu kaenda kuwatangazia ndugu zake kapata mchumba

    mademu wa aina hiyo ni ving'ang'anizi hatari na usiombe anase mimba yako utajutaa...[emoji23][emoji23][emoji23]
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa majina ya watoto Pacha

    Gift na Given
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunaibiwa sana kuanzia leo sitaki mwanamke anayepaka make up

    Hiyo picha ya kwanza sijaona tofauti kubwa labda hizo alama usoni ila yuko poa zikiisha
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tujuzane ndoa zilizodumu muda mfupi zaidi

    Kuna ile ya Britney Spears na jamaa gani sijui, ilidumu masaa machache kesho yake asubuhi akaitengua mahakamani akasema alifanya maamuzi akiwa amelewa.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: Binti wa kazi anataka kuolewa

    Muachie mwenzako apate jiko la kupika futari ramadhani iko njiani, ikiisha atarudi
Back
Top Bottom