Recent content by Area 254

  1. Area 254

    Peniela (Story ya kijasusi)

    Nzuri
  2. Area 254

    Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

    Wala sishangai kwa muislaam kujibu hivi. Ndio mafunzo yenu ya madrasa yanavyowaongoza,kwamba kila ukizidiwa kwa hoja basi tukana. Ndio uislam huo.
  3. Area 254

    Kifo cha kusikitisha cha Mama na Mwanae Wilaya ya Misenyi

    Ni maneno mabaya kweli aliyoyatoa. Mvumilie ndugu. Katika suala la kifo kwakweli inaniumiza sana. Imani zetu tuziweke kando na tushirikiane katika kutoa japo pole kwa wafiwa. Poleni sana waliofikwa na msiba huu.
  4. Area 254

    Kifo cha kusikitisha cha Mama na Mwanae Wilaya ya Misenyi

    Hapana ndugu. Tafadhali usifike huko please. Haujui ni lini na wapi na kwa namna gani utafikwa na mauti. Jaribu kuwaza angekuwa ni mama yako halafu mtu mwingine mwenye imani tofauti na yako akasema hayo uliyoyasema. Kiukweli inaumiza ndugu. Poleni wafiwa.....!
  5. Area 254

    Natafuta mtaalam wa kung fu

    Hapa ni dhahiri kabisa itampasa aende madrasa yoyote anayoifahamu.
  6. Area 254

    Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

    Sio elimucya madrasa,ni ilim ya madrasa,tena wala sina chuki nayo hata. Ni kwa vile tu huwa wanafundishana "udjinga" ndio maana siielewi.
  7. Area 254

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Haaaa Haaaaaa Haaaaaaaaaa.....
  8. Area 254

    Mauaji mkoa wa Lindi

    Majibu au maelezo ya polisi ulitaka uletewe mlangoni kwenu!?
  9. Area 254

    Mauaji mkoa wa Lindi

    Gama Nadhani ni swaumu tu ndio inakupeleka puta. Hebu ikifika jioni kapate futari halafu rejea tena hapa.
  10. Area 254

    Mabomu: Kwanini Arusha na Zanzibar?

    Hali ilipofikia kwakweli ni mbaya mkuu. Sababu za machafuko haya nadhani hutegemea mambo mengi sana kama vile migogoro ya kidini,kisiasa na labda hata ya kiuchumi. Madhara ya machafuko haya hasa ya kidini na mengineyo kama nilivyoyaorodhesha hapo juu ni kukosekana kwa kuaminiana kiusalama...
  11. Area 254

    Mauaji mkoa wa Lindi

    Gama Una umri gani?
  12. Area 254

    Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

    Ndio aliouomba Sheikh mwenzio? Akitaka kufahamu na hilo pia atajuzwa tu,na imani yetu kuwa atafurahia kumfahamu nguruwe.
  13. Area 254

    Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

    data MO11 Hivi hapa jamaa ametumia akili kweli? Barabara ya mkoa gani ambako mabasi huwa yanakuwa peke yake njiani,kwamba leo yote yanaenda halafu kesho yote yanarudi....!?
  14. Area 254

    Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

    Makamee Ni kweli unachofikiria....!?
  15. Area 254

    Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

    Kwa i'lm ya madrasa hapo ndipo ufahamu wako wa juu kabisa ulipofikia,hapo ungekuwa na maalim katani angefurahi sana. Madrasa inawaharibu sana,iko siku utakuja kugundua ukweli huu.
Back
Top Bottom