Recent content by Area 14

  1. Area 14

    Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

    Put your focus on creating money pool women will fall and even drown on it
  2. Area 14

    Sean "Combs" Diddy akamatwa

    Mimi sisupport ushoga ila 1000 bottles sio kesi ya msingi na tool ya kumdestroy diddy ikija kwa watu wajinga, kuna wazungu wengi wenye tabia chafu ila kwa weusi inakua mara 100 mimi kama Business person Diddy ataenda down sababu ya hate sio crime na watu watakaompeleka down ni watu weusi kama 50...
  3. Area 14

    Start up TV Series: Nimeangalia hii series ya wenzetu wa KOREA Nimegundua yafuatayo

    Nimeangalia hii series ya wenzetu wa KOREA Nimegundua yafuatayo 1. Wenzetu wana wekeza sana kwenye teknolojia na futuristic/ kutafuta solution ya maisha ya baadae na kugundua teknolojiaa mpya . 2. Wenzetu hawaamini sana kwenye DINI bali ethics (maadili) kwao kusema uongo, kuiba, kudanganya na...
  4. Area 14

    Sean "Combs" Diddy akamatwa

    Another Rich Black person down.... and poor Black men are happy about it watu weusi ni kama tuna laana flani Diddy inasemekana ni shoga lakini Steve jobs pia alikuwa shoga lakini kwa diddy tumekomaa nae na tunatamani afilisiwe na afungwe kabisa 😁 KUMBAVU
  5. Area 14

    Gamondi hamna kitu ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!

    Kwamba Guardiola akiwafundisha mashujaa wanaweza kutwaa ubingwa CAF
  6. Area 14

    Imewaka Engine check,alarm ya reverse ina mafua,mshale wa rpm unacheza sana,engine wakati mwingine inamis kuwaka

    Kafanye Diagnosis Maji kupungua kwenye Resevoir tank au kwenye rejeta? Mtafute fundi acheki mfumo wote wa mafuta, water pump, na mfumo wote wa cooling system. Nakuahauri usiendeshe gari bila kuicheki kwanza
  7. Area 14

    Nashindwa kulielewa hili gari

    Mpaka nauza lilikuwa linameremeta kwenye dashboard uskani unagonga, kuwaka mpaka nikanyage accelerator (starter inakufa), performance imepungua, ukikanyaga sana mafuta kama inamiss na vingine vidogo dogo
  8. Area 14

    Nashindwa kulielewa hili gari

    Na bodi yake ni kali sana
  9. Area 14

    Nashindwa kulielewa hili gari

    Cashflow za kuunga unga mkuu mshahara na posho vinaishia kwenye gari
  10. Area 14

    Nashindwa kulielewa hili gari

    Ilo gari ni zaidi ya nyonya dam nimejitahidi kujikaza ila wapi kanunua dalali sijui atalifanyaje fanyaje maana anadai analimudu
  11. Area 14

    Nashindwa kulielewa hili gari

    Mrejesho; Leo nimeuza BMW yangu 5 series sh. 4.5 Million na kuongeza pesa nichukue toyota allion jan motors ilinikondesha sana na sasa ni muda wa kurudisha kitambi.
Back
Top Bottom