Ushajiuliuza mwenye X Videos, PornHub, Onlyfans, Brazziers... anaingiza sh ngap?
Cha kusikitisha wooote tunazijua hakuna mtumishi wa kusema ndio nn hizo?? Pia haramu kidini ila kidunia 18+ tu
Kwahiyo mabadiliko yatakuja vp sasa kwa maono yako? Unaijua siasa vizuri?? Kuna sehemu yoyote duniani mabadiliko ya kweli yalitokea bila watesi kusulubishwa? Kauli yako ni sawa na kusema tusubiri tu ipo siku! Udhalili kabisa huu na vizazi vyetu vitaangamia zaidi na kutulaumu.
Haya majitu cjui yamechanjia wapi, Mungu atustiri! ni kama Taifa Zima liko chini ya zindiko.. Yale ma mwenge hua yana nini? Watu wa ajabu kina bashite, baba levo, meneja wa diamond wanakuaje viongozi
Pussy gani hata haivutii, semeni power of ndumba, bunge limejaa makafara, misukule na maruhani afu wanakuambia serikali haiamini uchawi.. huyo tu ni prove uchawi upo otherwise how Yani? 🤷🏾♂️
Hali ya hewa, green nature, vyakula asili, ukarimu, access nchi kama zote Zambia, Malawi, Congo, Zim, South etc. ukiwa na pesa sehemu yoyote inakua nzuri kama nilivosema awali nilipapenda kuliko dar haswa weather na uoto asili na pisi si haba.
Elezea uzuri wake ukiachana na hali ya hewa, Arsuha haifui dafu hata kwa Mwanza na Mbeya... Nmetembea mikoa karibu yote na me ni mzaliwa wa lake zone naipenda mwanza damuni ila Mbeya kimakazi ni mwisho wa reli. Usije kua unasema kisa tu kwenu huko.
Mbweni, Masaki, Bahari beach, makongo juu iliyoungana na goba sehem kibao.. ila namaanisha uwe na pesa utapata access ya Kila kitu me nmefanya kazi apo karibia na Le Grande casino town kabisa wenyewe wanaita Manhattan ya bongo watu wana pesa Mzee acha.
Kuna watu wamepangsha apartment twin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.