Recent content by Architect E.M

  1. Architect E.M

    Utamaduni wa Bacha Bazi Afghanistan jimbo la Kandahar na kwingineko: Wavulana wanavyoolewa na matajiri

    Hivi miaka 40 tayari ni bibi jamani???? Hahahaha. Tuwahurumie wadada.. miaka 40 bado ni kisuu
  2. Architect E.M

    Challenge: Ulipata GPA ya ngapi Chuo Kikuu?

    4.1 gpa bachelor of Architecture Ardhi University
  3. Architect E.M

    Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Hahahhaha. Kwa kweli fortuner ni garu nzuri sana mkuu... i can never complain....ila hizo sababu zako.. hahahah. Hapana kaka. Wewe chukua gari kwa ajili ya mizunguko, sio pisi...... ukitaka ya kuanzia 2018 mpaka 2020 ivi unaweza pata kwa 80 - 100m, ikisogea ya 2021 - 22 maybe itafika 120m...
  4. Architect E.M

    Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Umeelewa maana ya resale value???... namaamisha kuiuza after kukaa nayo hapa bongo kwa miaka kadhaa.. not straight after importation.... twende mbele turudi nyuma kumaintain fortuner ni rahisi zaidi kulinganisha na ford ranger kwasababu ya uwingi wa mafundi wanaozielewa toyota.. spare parts huko...
  5. Architect E.M

    K Basil sasa ni askofu chini ya kanisa la Gwajima

    Seminari kuu wanasoma theology na philisophy...fuatilia mkuu.. na lazma uwe umefaulu vizuri form 4 na form 6.....
  6. Architect E.M

    Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Fortuner ni almost sawa kabisa ni hilux. Hazina tofauti kubwa. Ukipata za kuanzia 2018 na kuendelea yenye engine za either 1GD au 2GD, they are quite cheap and easy to maintain ukilinganisha na ford ranger za same years.. spare za fortuner na hilux zinaingiliana kwa 90%...i am talking from...
  7. Architect E.M

    TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

    Kabisa kaka .... almaarufu balozi.. inaelekea we jamaa mwenyeji sana wa chugga
  8. Architect E.M

    TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

    MToto wake ameoa familia ya president mwinyi za zanzibar. R.i.p kaka...
  9. Architect E.M

    K Basil sasa ni askofu chini ya kanisa la Gwajima

    Gwajima alijirekodi akiwa anafanya mapenzi. Mbona husemi kuhusu hili?.. halafu anafufua watu kwa uwongo... na bado mnamuamini???? Mnasema ni mambo ya Rohoni????? SIsemi kuwa wakatoliki wako perfect, but atleast wana taasisi imara, mashule, mahospitali, vyuo e.t.c... na hili pia linawezeshwa na...
  10. Architect E.M

    K Basil sasa ni askofu chini ya kanisa la Gwajima

    Aiseeeeeee... kweli ndio maana sitokaa nihame kanisa Takatifu Katoliki... ili uwe walau padre tu unahitaji degree mbili... haya makanisa ya kikanjanja yanaokota watu mtaani kesho wamekuwa maaskofu... dah...
  11. Architect E.M

    Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Nakubaliana na mleta mada 100%..... I will die kwa toyota. Sioni haja ya kwenda na brand ingine. Ukipata hela si una upgrade to toyota... from vits labda premio to Rav 4.. to fortuner to prado to LC300... ya nini kwenda na magari ambayo roho mkononi likipata shida ukiwa safari mpaka uite fundi...
  12. Architect E.M

    watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi ?

    Kila kitu ni malengo.... 200m wala sio hela ya kutisha.. ukiwa na discpline, ukajifuza kujenga shilingi juu ya shilingi, kufikisha hata 1B inawezekana.
  13. Architect E.M

    Serikali kupitia TRA pitieni Mapungufu ya Kikokotoo cha Kukadiria Ushuru wa Kuingiza Magari used

    Nilitamani kulia.. umenikumbusha machungu sana... kumiliki mende tanzania ni adhabu na mateso mno... wakati ni gari ya kazi na inakuja kutengeneza ajira... ushuru wa mende ni karibu milioni 60 - 70. Kwa kwelli kwa hapa TRA wajiangalie.
  14. Architect E.M

    Kwa mlio endesha Toyota fortuner msaada..

    GD 6 Ni hatari.... fortuner na hilux ni almost gari moja.. very comfy.. very nice car... kwa budget 4 x 4 hakuna nyingine zaidi ya hizo. Its just soooo reliable, inaenda kokote. Speed nzuri up to 140 inatulia tuu... nasisitiza na kushauri kama mdau alivyosema ongeza budget kidogo ukamate kitu...
Back
Top Bottom