Recent content by ARCHBISHOP

  1. ARCHBISHOP

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    Kuna matatizo mengine wafanya biashara tunayatafutaga wenyewe, awa jamaa nimefanya nao biashara muda sasa na wakati wote wananipa TRA receipt na delivery note zikiwa proper. Labda ulitaka kuuziwa bila VAT matokeo yake ndo ayo. Kuna wakati unaweza pokea simu toka kwa mteja akiwa Mwanza au Geita...
  2. ARCHBISHOP

    Mauaji ya Kimara: Mstari katikati ya upendo, hisia na kujali

    Mshana sina shaka na uyaandikayo, wewe unamjua vizuri marehemu. Hakuna hata chembe ya uwongo. Tuchukue kama funzo especially kwa wanawake wakati wa kuolewa. Sisi tumempoteza rafiki yetu, waweza kuwa wewe au nduguyo. Take time kumjua vizuri mwenzio kwanza.
  3. ARCHBISHOP

    Uzi maalumu wa kueleza 2015 ulikuwa mshabiki wa chama gani na leo wewe unashabikia chama kipi???

    Na wale tulochagua rais ACT, mbunge CHADEMA na Diwani CCM tunaandika nini
  4. ARCHBISHOP

    Tuna shida Kubwa sana ya Wataalam wa Magari katika Maeneo haya

    Mkuu naomba model ya gari yako, umri wake na kama imetembea zaidi ya km 100k au laa, Matumizi ya oil yanatakiwa yaanzie kwenye specification ya manufacturer then kama hiyo grade haipo, then unaangalia alternative, naomba izo details nakusaidia sasa hivi.
  5. ARCHBISHOP

    Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Kama umefika hata form four basi uliiba mtihani.
  6. ARCHBISHOP

    Viongozi wa kiroho mnatakiwa kuheshimu chaguo zetu za maisha.

    Asante kwa elimu. Nadhani tuweke nje maswala ya imani maana hata waislam wapo wenye mke mmoja na wameridhika. Swala langu ni kutaka kuaminisha umma kwamba hakuna mwanaume wa mke mmoja! Si sahihi.
  7. ARCHBISHOP

    Viongozi wa kiroho mnatakiwa kuheshimu chaguo zetu za maisha.

    [emoji23]imebidi nicheke, kwamba ukiwa umepigika unakuwa mwema sana kaka? Anyway, jitahidi utaweza.
  8. ARCHBISHOP

    Viongozi wa kiroho mnatakiwa kuheshimu chaguo zetu za maisha.

    Ukilibeba nafsini utafanikiwa bro.
  9. ARCHBISHOP

    Viongozi wa kiroho mnatakiwa kuheshimu chaguo zetu za maisha.

    Ndugu zangu, salaam. Binafsi nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa zawadi ya uhai. Nilibahatika kukutana na video niliyoambatanisha na ilinikwaza nafsi yangu mpaka nikafikia kuandika humu labda itamfikia mhusika. Kama mwanaume nimekuwa katika mausiano na mwenzangu kwa zaidi ya miaka 13...
  10. ARCHBISHOP

    Nini kimetokea tamthilia ya Pete Africa Magic?

    Wakati kila mtu akianza kuipenda na kuielewa tamthilia hii pendwa, ghafla tarehe 02/04/2019 ilihamishwa kutokea kuonyeshwa saa 21:30pm kwenda 00:30am. Leo tarehe 03/04/2019 inaonekana imeondolewa kabisa kwenye vipindi. Hii yote imefanyika bila taharifa wala kuombwa msamaha watazamaji. Kwakweli...
  11. ARCHBISHOP

    Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

    Acha ubishi, BBC wako, Kagera? watu tumepogiwa simu usiku na wazee wamechanganyikiwa kwa taharuki.
  12. ARCHBISHOP

    Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

    Nikwasababu watu wamejawa na mawazo machafu, hilo ni eneo kubwa tu, ni kata inaitwa Katerelo, zamani ilikuwepo Sekondari kubwa inaitwa Katerelo, nisawa na kubadili maana ya Nyegezi Mwanza.
  13. ARCHBISHOP

    Kiwanda cha sukari Mtibwa kinawanyonya wafanyakazi Watanzania

    Dah! wewe sijui kama umeelewa alichoandika! [emoji23][emoji23][emoji23] Kiingereza cha mwalimu wa Civics form two!
  14. ARCHBISHOP

    Kiwanda cha sukari Mtibwa kinawanyonya wafanyakazi Watanzania

    Dah! hata sielewi unataka kusema nini? umekusanya maneno ya kiingereza ukayaweka pamoja baaasi.
Back
Top Bottom