Recent content by Arch OAK

  1. Arch OAK

    Je Mafwele ni Mtanzania?

    Anatokea bunda vijijini mpaka na kuna shule ya serikali imepewa jina lake huko kwao ....... primary school 😎
  2. Arch OAK

    Nahisi nimekua addicted na huu mchezo wakuu

    Tangazo lipo kimkakati sana hili.
  3. Arch OAK

    Vocha za voda zinagoma

    Subiri saa kumi na mbili kamili ifike au weka kindege katika simu yako halafu kitowe weka tena itakubati
  4. Arch OAK

    Zilipendwa

    Papii kocha
  5. Arch OAK

    Job Application FAILED

    Haikuwa bahati hii systerm yao mbovu sana.
  6. Arch OAK

    Job Application FAILED

    Nimeufuata, picha imekubari finally [emoji120] ilikuwa 400x481 kwa 37kb imeingia vizuri tu. Sasa nimekuwa na 95% nikajaribu kuapply ikasema nina referees 2, nimeongeza 1 sasa inagoma tena sijui shida nini labda sababu deadline ni leo 25/4 Ni kazi za MDAs/LDAs category ya Msanifu majengo...
  7. Arch OAK

    Job Application FAILED

    Update: Nimefungua Account mpya kila kitu kiko sawa mpaka picha, sasa tatizo lililojitokeza ni kuwa ile ya mwanzo nilishaweka NIDA number hii ya pili siwezi tumia number ile ile. Acha tukomae na Private sectors tu. Shukran kwa michango yenu.
  8. Arch OAK

    Job Application FAILED

    Ok, ni hivi kabla sijakuwa verified na TCU niliweka tu level ya form 6 nikasave account kama mtu ambaye sina elimu ya juu na nikaiacha hivyo. Baada sasa ya kuverify vyeti nikarudi tena ku-update education ili niweke level ya juu hapo ndipo nikaitoa hiyo masters kwa kujua nitakosa kazi kwa hiyo...
  9. Arch OAK

    Job Application FAILED

    Ngoja nijaribu kuifungua account mpya kwa email nyingine
  10. Arch OAK

    Job Application FAILED

    Oh nilifikiria hivi pia sasa nimetoa ipo degree tu na bado inagoma.
  11. Arch OAK

    Job Application FAILED

    Wanataka degree na mimi ninayo na masters pia
  12. Arch OAK

    Job Application FAILED

    Architecture
  13. Arch OAK

    Job Application FAILED

    Habarini za saa hizi. Nimejiunga muda mrefu sana hii portal ya ajira ila mpaka naandika hii thread haijawahi kukubari ku-upload picha. Nimekuwa nikiapply inaniandikia Job Appl... FAILED nikajua labda sababu ya kozi yangu inaingia katka related courses ila zimetoka post za kazi ambapo kozi...
  14. Arch OAK

    Tunaomiliki usafiri na kukerwa na ambao tunawabeba lakini hawabebeki

    Mimi nipo nje ya mada kidogo Kwanini utembee Km 32 kwenda kazini na kurudi?? Mbona msiamie karibu na eneo la kazi ?? Especially huyo hasie na usafiri tena ni mkoani Mimi nikiwa mikoani kikazi nakodi room 40000/50000 master nakaa karibu na kituo ambapo hata nikisema nitumie usafiri ni Tsh...
Back
Top Bottom