Job Application FAILED

Job Application FAILED

@Arch OAK fuata ushauri wa Youngblood kuwa na masters haikuzuii kuomba Kazi ya undergraduate. Narudia Tena kuwa na masters haikuzuii kuomba Kazi ya bachelor Nina ushahidi juu ya hili ndio maana naweka msisitizo. Pia jua kwamba nida ikishatumika kufungua account moja haiwezi kufungua account nyingine.
Tatu, tatizo ulilonalo ni aina ya picha unayojaribu kuiweka haipo compatible na system ya PSRS. So nenda google type image resolution then ifanyie adjustments accordingly
Nimeufuata, picha imekubari finally ilikuwa 400x481 kwa 37kb imeingia vizuri tu.

Sasa nimekuwa na 95% nikajaribu kuapply ikasema nina referees 2, nimeongeza 1 sasa inagoma tena sijui shida nini labda sababu deadline ni leo 25/4
Ni kazi za MDAs/LDAs category ya Msanifu majengo.

Kuna yeyote aliyeapply hizi kazi??
 
Update:

Nimefungua Account mpya kila kitu kiko sawa mpaka picha, sasa tatizo lililojitokeza ni kuwa ile ya mwanzo nilishaweka NIDA number hii ya pili siwezi tumia number ile ile.
Acha tukomae na Private sectors tu.
Shukran kwa michango yenu.View attachment 2599014
Mbona uliambiwa kuwa hata ukifungua akaunti nyingine huwezi kuitumia maada namba ya nida ni moja
 
Back
Top Bottom