Mkuu naungana na wewe katika hili.
Pia kama unakumbuka Waziri wa Maji ametoka Mwanza wiki mbili zilizopita kukagua hiyo miradi nina uhakika aliacha maelekezo kwa watendaji husika.
Bwana mkubwa na yy kaenda kukagua miradi hiyo hiyo, je atakuwa ameacha maekekezo pia kwa watendaji.
Tanganyika Yangu
Habari za jumapili wanajamvi.
Natanguliza samahani kwanza kama nitakosea. Pia naomba kukosolewa na kuelimishwa ili nielewe.
Kutoka katika Bibilia Takatifu, maandiko yanasema kwamba Wana wa Israel walitembea kutoka Egypt kwenda Kanan kwa miaka 40.
Umbali kutoka Misri kwenda Kanani ni kati ya...
Jibu langu liko wazi, binafsi sijapata sababu ya msingi iliyomfanya Ronaldo aondoke kambini.
1. Alikuwa analenga nini?
2. Anaamini bila yeye Ureno haiwezi kufanya chochote?
3. Vipi kama kuondoka kwake kungevuruga utulivu kambini? Labda nikuambie kitu, nafikiri Ronaldo anapaswa kuona kuwa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.