Recent content by arabianfalcon

  1. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Wachapana makonde kisa mke wangu

    Pole mkuu naelewa mke anauma sana,chamsingi zidi tuvuta subra tulia kimnya hakuna lisilo kwisha,usichukue maamuzi yoyote hasa kipindi kigumu kama hiki.
  2. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani uliyowahi kupewa na mpenzi/mwenza wako unaikumbuka muda wote?

    Etiiii🙉 unahatari wewe kijana...
  3. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amenishtua sana japo nampenda

    Atiiii? 🙉
  4. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Nahisi rafiki yangu anataka nimsaidie kumtia mimba mke wake

    Siri kaka Sio mchezo kuiziba wewe huna Siri hata chembe, tena hapo una hisi angekwambia je? Anae jua kuhimili Siri mwanamke peke Yake..
  5. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Biometric registration kushindikana -uchaguzi itawezekanaje kufanyika kwa biometric voting system?

    nakubaliana nawe, kama vifaa vya kujiandikisha havitoshi itawezekana vipi vifaa vya kupigia kura vipatikane? Huu ni mpango wa kuvuruga uchaguzi kwa makusudi ulioandaliwa na CCM baada ya kuona maji kuzidi unga.
  6. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Bungeni Escrow - Stanbic Mnyika ahoji usiri/utoroshaji pesa kwenda Austria, S.A na vigogo kutohojiwa

    Kila kilichoanza kina mwisho wake, kila aliyezaliwa hatima ni kufa na kila anayeanza kutembea na kukimbia huhitimisha kwa kufikia ukingoni ndicho kinachoendelea kwa CCM. Sawa na sikio lisilosikia dawa, vurugu moja kwa moja hakuna unafuu wo wote. Angalia Kikwete anazidi kuwagawia watu ulaji...
  7. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe atikisa Dar kuleta wasanii ngoma ya asili Mganda - yavunja rekodi kiingilio

    Sidhani mleta mada anamaanisha ni kampeni za uchaguzi, ila ukuzaji vipaji vya vijana na kuwawezesha kimaisha. Kufanya hayo si lazima uwe mbunge, ye yote nafasi ikukuruhusu inawezekana.
  8. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe atikisa Dar kuleta wasanii ngoma ya asili Mganda - yavunja rekodi kiingilio

    Tukio linajieleza, na meelezo kwamba kiingilio kilikuwa kiasi gani na idadi ya watu waliohudhuria inaonyesha waliondoka na kiasi cha kuwaridhisha hawa wasaanii wa ngoma ya asili. Ubunifu huu nimeupenda, si kwenye muziki wa kizungu tu, kuna ngoma za asili kama hii naona hata uvaaji wake...
  9. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe atikisa Dar kuleta wasanii ngoma ya asili Mganda - yavunja rekodi kiingilio

    Enzi hizo ngoma hii ilikuwa ya wanaume tu na akina dada waliserebuka kwa ile ngoma yao ya kukata mauno iitwacho chihoda, lakini naona siku hizi ni full mchanganyiko mabibi na mabwana.
  10. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Msaada - mtu anasumbuliwa kwa kutiliwa dawa kiintelijensia - ananuka madawa, tumsaidieje?

    Kuna mtu anasumbuliwa kwa muda sasa anatiliwa dawa kiintelijensia (kwa siri) muda wote ananuka madawa, na yanapopungua wanaongeza tena. Kisaikolijia inamgharimu na kukosa raha kama walivyo binadamu wengine. Hapa Jamii forums hapakosi wenye uchungu kwa wengine, wenye moyo mwema na upendo wa...
  11. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Anahisi kuwekewa dawa za harufu mbaya kisiri nini afanye?

    Kuna jambo nimeona mtu anasumbuliwa na mazingira ya kiintelijensia anafuatwa kila aendako na kumwagiwa madawa kwa siri. Anasema anaonja kabisa na kuhisi kumwagiwa bila yeye kuwaona. Kila nguvu ya dawa ikipungua wanaongeza tena. Hata walio naye wanasikia harufu ya madawa hayo. Inamfanya apate...
  12. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

    Kauli ya kuingia msituni ingetolewa na mmoja toka upinzani leo angekuwa anasota jela, lakini serikali ya CCM kwa jeuri yake wakampigia makofi na Mungu mwenye haki kaamua kumwepusha na azima ya kwenda msituni kwa kumshtukizia bila kuonja maumivu ya kipekee yenye kumpa muda wa kukumbuka...
  13. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Mke wa Prosper Mbena (wa Ikulu) Alichukua TZS 2 Billion za ESCROW

    Haijawa wazi hapa sasa mmoja amejasiri, sasa huyo mumewe Prosper Mbena aje akanushe kama mkewe hakuchukua pesa hizo, Wengine tulianza kumfikiria Mke wa Rais kumbe si kweli, pengine Kikwete atatoka msafi, kuna wanaomharibia na kumchafulia Ikulu yake. Mwaka huu kabla hatujafikia Uchaguzi Mkuu...
  14. arabianfalcon

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe: TANESCO shirika la umma au binafsi? Iweje pesa zisiwe za umma?

    Labda wananchi hawajataarifiwa rasmi kuwa shirika la umma la Umeme Tanzania (TANESCO) limebinafsishwa. Kama lingali shirika la umma pesa zilizotokana na shirika hilo iweje zisiwe za umma?
Back
Top Bottom