Recent content by Aquinas

  1. Aquinas

    Nataka kununua simu aina ya apple

    Samsung ni user friend n uzuri wake u can download any program kwenye play store yake na ikakubali tofauti na Iphone kuna programme zake inabidi ununue
  2. Aquinas

    Nataka kununua simu aina ya apple

    Hata mm i real appreciate samsung ni noma kwa swala kama la pict wana 16mp kwa simu zao kuanzi S5,S6 na note 4
  3. Aquinas

    Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

    Alitaka kuwa kama kim kardashian,beyonce,kina rihana,amber rose nawengineo celebrates wa mbele
  4. Aquinas

    Dr. Kimei wa CRDB: Kuporomoka kwa shilingi kuna faida kubwa kwa Watanzania

    90% ya bidhaa tuna import as we had lack of industries
  5. Aquinas

    Brackberry Q10 Vs Brackberry Z10

    Hapo nimekusomaa mkuu
  6. Aquinas

    Brackberry Q10 Vs Brackberry Z10

    Kunaa jamaa yangu anayo q5 but apps za android zinazumbua sana ku download hata jamii forum kashindwa download,nami nilishakuwa na z10 ilinisumbua sana
  7. Aquinas

    Brackberry Q10 Vs Brackberry Z10

    Hapo sijakusoma mkuu
  8. Aquinas

    Brackberry Q10 Vs Brackberry Z10

    Z10 but tatizo la blackbery inakataa apps nyingi za android
  9. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Taaluma mkuu n discipline
  10. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Hiyo faraja na st patric nitazicheki
  11. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Asante mkuu victor
  12. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Result yake number mbili
  13. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Morning wana JF naomba mnisaidie shule gani nzuri ya wasichana yenye mchepuo combination ya ECA kwani nina mdogo wangu kamaliza form four nataka kujua ana GPA 1.7
Back
Top Bottom