Recent content by Aquatic

  1. Aquatic

    Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

    Sikilizeni wajukuu zangu, sisi mababu zetu hivyo vitu tumevitumia toka enzi kwa enzi ndio maana mpaka leo vipo na vitaendelea kuwepo. Hata wamasai hizo dawa wanazo subiri niwape somo. 1. Mkongo haongezi nguvu za kiume kama unamatatizo ya nguvu za kiume mkongo sio suluhisho lake, mkongo...
  2. Aquatic

    Mume wa mtu ananitesa

    sasa ndio nini tena kuyaleta huku S mbona unataka kunialibia tena ndoa yangu?...nimeshakueleza vyakutosha
  3. Aquatic

    Msaada wenu wandugu: Dawa ya kusokota tumbo kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

    Sio drip water ni gripe water wadau Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Aquatic

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kanzu bila kofia sawa na dela tu.
  5. Aquatic

    Ujenzi wa daraja la Kivule wageuka shubiri kwa wakazi

    Mkandarasi Singh and Sons anaitia aibu taaluma ya uhandisi majenzi na mihimili, ujenzi wa daraja aliouanza hivi karibuni mwanzoni ulikuwa ni tumaini jipya kwa wakazi wa kivule na vitongoji vyake ila sasa umegeuka shubiri kwa wakazi hao. Mkandarasi huyo anatia mashaka uwezo wake katika taaluma...
  6. Aquatic

    Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

    Mkandarasi Singh and Sons anaitia aibu taaluma ya uhandisi majenzi na mihimili, ujenzi wa daraja aliouanza hivi karibuni mwanzoni ulikuwa ni tumaini jipya kwa wakazi wa kivule na vitongoji vyake ila sasa umegeuka shubiri kwa wakazi hao. Mkandarasi huyo anatia mashaka uwezo wake katika taaluma...
  7. Aquatic

    Namna ya kuwa mwanaume bora asiyekera wanaume wenzako

    Sio kila ushauri unaopewa na jamaa zako au mkeo ni wakufuata sometimes kidume lazima uwe na maamuzi yako binafsi hii itakuongezea heshima mbele yao.
  8. Aquatic

    Nukia classic na perfume za kijanja

    Guys let me share one thing wit you; Kuna Uzi mmoja niliwahi kuandika hapa JF miaka 3 iliyopita jinsi ya kutambua cosmetics km perfume, lotion na bidhaa zingine kama ni fake au authenticated, tarehe na mwaka toka kutengenezwa kwake na uhalali toka kwa mmliliki wake awe Christina Dior, chanel au...
  9. Aquatic

    Nukia classic na perfume za kijanja

    Wapo wanaochukua kwa ajili ya kuziuza mikoani ila sidhani km utapata kwa bei hizi...kwasasa watu dar ndio wanafaidika zaidi na offer hii, ila tupo mbioni kuona ni namna gani tutaweza kuwafikia, km una mtu dar mwambie akichukulie kisha akutumie
  10. Aquatic

    Nukia classic na perfume za kijanja

    Chukua mawasiliano yangu pale juu kbs...utanipata
  11. Aquatic

    Nukia classic na perfume za kijanja

    Mfano mzuri ni kampuni ya Smart wanatengeneza perfume zote zenye majina uzijuazo.....zile unaweza kuita fake coz mmiliki halali ajampa lisence...tofauti na hz.. TOPIC CLOSED..
  12. Aquatic

    Nukia classic na perfume za kijanja

    Soma post namba 36
  13. Aquatic

    Nukia classic na perfume za kijanja

    Kwa wale ambao wamechukua mashahidi
  14. Aquatic

    Nukia classic na perfume za kijanja

    Niliposema clone naamanisha under lisence..Dolce&Gabbana hawezi kuifikia Dunia nzima yeye pekee....nchi nyingi zinatoa brand haimaaishi ni fake
  15. Aquatic

    Nukia classic na perfume za kijanja

    Sauvage, Dolce& Gabbana The one
Back
Top Bottom