Nukia classic na perfume za kijanja

Nukia classic na perfume za kijanja

Mfano mzuri ni kampuni ya Smart wanatengeneza perfume zote zenye majina uzijuazo.....zile unaweza kuita fake coz mmiliki halali ajampa lisence...tofauti na hz..

TOPIC CLOSED..
Hayaa
 
mkuu hivi bonanza ile yenye black bottle ina perfume yake
 
Watu wa mkoani tunawezaje kupata bidhaa mkuu?
Wapo wanaochukua kwa ajili ya kuziuza mikoani ila sidhani km utapata kwa bei hizi...kwasasa watu dar ndio wanafaidika zaidi na offer hii, ila tupo mbioni kuona ni namna gani tutaweza kuwafikia, km una mtu dar mwambie akichukulie kisha akutumie
 
Guys let me share one thing wit you;

Kuna Uzi mmoja niliwahi kuandika hapa JF miaka 3 iliyopita jinsi ya kutambua cosmetics km perfume, lotion na bidhaa zingine kama ni fake au authenticated, tarehe na mwaka toka kutengenezwa kwake na uhalali toka kwa mmliliki wake awe Christina Dior, chanel au Giorgio Armani na wengine.

( Jinsi ya kuhakikisha kama Perfume yako uliyonunua ni Original au Fake na muda wa Ku-Expire )

chukua box la perfume yako nakili batch code au bar code kisha ingia hapa JINSI YA KUTAMBUA UHALALI WA BIDHAA YAKO ingiza tarakimu hizo na chagua mmiliki wa hiyo bidhaa kisha bonyeza kitufe cha calculate. Angalizo mmiliki anaweza kutumia batch code au bar code katika kutambulisha bidhaa yake hakikisha unamfahamu mmiliki halaili wa bidhaa uitumiayo. Kama umeweka bath code imekataa ingiza bar code, kama zote zimekataa ujue hapo umeliwa.

images (1).jpg
images (2).jpg


BATCH CODE


images (1).png


BAR CODE......unaponakili bar code namba zilizo nje ya mistari unaziacha mfano 0 na 3 hapo.

Nimeleta somo hili ili kuondoa wasiwasi wale wanaodhani perfume zinazouzwa hapo juu ni fake.​
 
The ONE bado ipo mkuu?. Kama ipo hakuna mjadala naichukua hata kesho
 
Back
Top Bottom