Nukia classic na perfume za kijanja

Huu mzigo upo kwenye offer kwa atakae chukua nenda kwenye maduka yenu kule posta mnapo uziwa 150k ukikuta tofauti na huu nakurudishia ela yako
 
Offer hii mwisho tarehe 14 Nov mzigo ukishaingizwa kwenye flemu za kioo mtaununua kwa bei zilizo zoeleka.
 
Umaridadi uficha mengi, nukia kijanja na perfume classic kwa bei ya kutupa, kwa perfume za jumla na rejareja kwa perfume zifuatazo nione DM au piga 0713819646

View attachment 626777 View attachment 626778 View attachment 626779 View attachment 626780 View attachment 626782


View attachment 626783 View attachment 626784 View attachment 626785 View attachment 626786 View attachment 626787

Perfume ni clone kutoka UK muonekano wa picha na bidhaa utakayo uziwa ndio huo huo km unavyoonekana hakuna longo longo.
Huu mzigo upo kwenye offer kwa atakae chukua nenda kwenye maduka yenu kule posta mnapo uziwa 150k ukikuta tofauti na huu nakurudishia ela yako
100% inarudi shaka ondoa
Hizo posts tatu zinajichanganya. Unasema ni clone halafu akalinganishe na zile OG zitakuwa sawa kweli?! Mfano Clone ya iPhone inaweza kuwa sawa na OG iPhone?
 
Niliposema clone naamanisha under lisence..Dolce&Gabbana hawezi kuifikia Dunia nzima yeye pekee....nchi nyingi zinatoa brand haimaaishi ni fake
 
Mfano mzuri ni kampuni ya Smart wanatengeneza perfume zote zenye majina uzijuazo.....zile unaweza kuita fake coz mmiliki halali ajampa lisence...tofauti na hz..

TOPIC CLOSED..
 
Back
Top Bottom