Recent content by Aqmar16

  1. A

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na Uhuru wetu Vs Uzalendo na Wajibu Wetu

    Naomba mwenye Uzi huu kama yuko serious basi asingie saana ktk siasa siasa ni michakato go direct to the point
  2. A

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na Uhuru wetu Vs Uzalendo na Wajibu Wetu

    Litafutwe fungu la pesa japo cjui litatoka wapi iwekwe mikakati ya mtu kujikomit au tu criet employment 'miradi tuweke kui fund
  3. A

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na Uhuru wetu Vs Uzalendo na Wajibu Wetu

    Mkuu nimeipenda sana wazo lako tangu imeingia jf Leo ni siku ya kwanza kuifurahia yote hayo yameeleweka na yana matokeo chanya naomba uote muafaka wa mawazo haya kwanza tunaazimia kwa moyo kufanya hiki na hiki
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wakataa kuigiziwa sauti ya Magufuli kwenye harusi

    Safi sanaaaa.... [emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
  5. A

    JamiiForums Tanzania Samahani Waziri Mkuu "Tabasamu" Majaliwa Hatumfikirii Faru John

    Oooooh... Tunasahau... Yule ni "JOHN"jina zito lazima PM achanganyikiwe
  6. A

    JamiiForums Tanzania Samahani Waziri Mkuu "Tabasamu" Majaliwa Hatumfikirii Faru John

    Upo saw a sana bro... Ukiangalia ya muhimu yooote yapo chini ya uvungu na hayahojiwi.. What is Faru John by the way???!!, asipokuwepo watu hatutaishi, yeye ndio mjenzi wa miundombinu, watu wanakufa madoctor hawajielezi!! Hawa watu so ndio wajenga nchi na walipa kodi na ndio wanasababisha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu anajielewa sana na ana roho safi

    Kumbe tupo wengi tunaomkubali huyu mama.. Naona mama Ni mtu pekee anaejielewa katika Serikali hii.. Wengi hukurupuka sana katka maamuzi na maongezi yao..
  8. A

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wakuu wa mikoa tuliwapinga machinga, Magufuli akawaunga mkono, nasi tumewaunga mkono

    This is our gvt for now... Let us wait.. Loading...........
  9. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na Bilionea Dangote

    Duuuh... Jaman hata tv huna ukaona, habar??
  10. A

    JamiiForums Tanzania Muhammad Ali amazing boxer

    We ndio unakuja kuharibu jamvi... Muda wooote -tv thinking
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimestuka Rais alipotamka maneno "Uhuru wa Tanganyika"

    Huu ni uhuru wa Tanganyika... Hakukuwa na Tanzania Bara mwaka 1961.. Na ndio maana kuna mapinduzi matukufu ya Zanzibar na sio Tanzania Visiwani
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mkapa, Kikwete, Salim, Warioba, Spika na Naibu wala kiongozi wa kimataifa hakuwepo!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. U end my day[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanywa kwenye mnara wa askari Dar?

    Duuuh.... Kifaa chako kina matatzo?? Mbona pcha kaweka
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mafuru: Knowledge is knowing what to say...

    Zina faida if u have the third eye
  15. A

    JamiiForums Tanzania Makondakta wanatiwa hasara na Askari Polisi, Jeshi na Magereza

    Ukisema hivo hauko sahihi... Kila mfanyakazi akipata dharura ya kiofisi na mfukoni hana kitu apande gar bure? Vipi madoctor na manesi? Hii nchi haiko sawa tu.. Hawa wenye magari wanalipa kodi, why mtu utumie service bure wakati mwenzako anailipia kodi? They should pay transport fee.
Back
Top Bottom