Recent content by ApuG

  1. A

    JamiiForums Tanzania Soko la biashara ya asali

    Husika hapo juu wakuu, Nataka kujikita ktk biashara ya Asali ili niweze kujikwamua kimaisha, Nataka kutoa Asali Tabora na kusafirisha Dar. Sasa naomba kufahamishwa kwa huko Dar ni wapi ntapata wahitaji zaidi, Kwa kuanzia nataka nianze na mzigo wa lita 50 hadi 100. Naombeni ushauri wenu wadau.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Wanajamii, Naombeni msaada jinsi ya kuanzisha kibanda cha Tigo pesa na mitandao mingine na kuuza umeme wa Luku. Kwa maelezo ya kwanza niliopewa, nimeambiwa natakiwa niwe na line ya mtandao husika na mashine ya Sellcom au Maxmalipo. Pia nimeambiwa ili kupata vyote hvyo nahitajika niwe na Tin...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nani kapita hapa?

    Nimepita hapo 2009-2011 tulipokelewa na Lulukila (Master) Bweni nililofikia Shelaton, Room Wanyama ( The Animals) ktk vitu ninavyovikumbuka shule nzima ilikuwa na wanafunzi 976 kombi 9 ila walimu 13, yaan kila mwalim akipewa darasa lake hawaenei maana Form5&6 jumla ilikuwa madarasa 18. Sowani...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nani kapita hapa?

    ???NDABO
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wana Pharmacy wa JamiiForums

    Unaweza tumia mbadala wake ambazo ni Omeprazole capsules zinafanya kazi sawa tu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mi Mgeni Naomba kuonyeshwa mazingira ya humu.

    Ahsante sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mi Mgeni Naomba kuonyeshwa mazingira ya humu.

    Mi mgeni mgeni mkuu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mi Mgeni Naomba kuonyeshwa mazingira ya humu.

    Duh!!!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mi Mgeni Naomba kuonyeshwa mazingira ya humu.

    Ahsante kwa elimu, japo bado sijafika!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mi Mgeni Naomba kuonyeshwa mazingira ya humu.

    Ahsante sana dada viv
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mi Mgeni Naomba kuonyeshwa mazingira ya humu.

    Sio hvyo mkuu, nimeona huyu ndo atanifanya nizoee JF haraka kwa ukarimu wake, ila members wote nawakubali saana
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mi Mgeni Naomba kuonyeshwa mazingira ya humu.

    Habari zenu wakuu (ndo nilivyosikia mkiitana) Naomba mnipokee na kunionyesha mazingira ya humu, ila naomba nichague member wa kunitembeza humu naye si mwingne bali ni miss chagga. Maana anaonekana na mkarimu sana kabla hata sijafka. Ila ntaomba anipeleke maeneo yote hadi kule mnapokuita PM...
Back
Top Bottom