Recent content by Appollo 11

  1. Appollo 11

    NETO punguzeni jazba: Tusiingize siasa kwenye elimu, tuache interview iamue nani aajiriwe

    Inaonekana unaishi nyuma ya kuda, au hufuatilii vitu, katika hoja ulizotoa zinaonekana hufaham mambo mengi yanaoendelea kwa sasa. 1. Madakatari ndio wanaajiliwa kwa kufanya usaili. Kuanzia mwaka jana. 2. Vyuo vingi wanavyosoma wahasibu na madaktari ndio hivyo hivyo husoma walimu. Mfano UDOM na...
  2. Appollo 11

    Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

    Vip kama Huyo Robert Heriel ndiye alie Copy kutoka kwa huyo Lecturer. Na haku recite source.?
  3. Appollo 11

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ule ujumbe wa Vilianzia Cremia vitaishia Cremia, siuoni tena. Vip Mstari wa Mbele kuna kuna habari gan.
  4. Appollo 11

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwani hizo ATAMACS zilikua hazitumiki kwenye uwanja wa vita?? Zimeleta mabadiliko gan
  5. Appollo 11

    Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

    Unataka kusema kuwa kila kitu anachopenda tajir na masikini anatakia kukipenda na kukifanya? Dunia kubwa kila mtu na kipaumbele chake.
  6. Appollo 11

    Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

    Yeah anasasitiza Vita iishe kwa sababu ashapata advantage tayari. Anashikiria 27% ya eneo la Ukrain. Eneo hili pia ni eneo lenye rasilimali nyingi mno. So, Jamaa ana akili kubwa anajifanya neutral lkn mkienda mezani mashart yake yako wazi.
  7. Appollo 11

    Nimepiga marufuku utamaduni wa mgeni kushukuru kwa chakula kila baada ya kula

    Kushukuru ni Jambo jema, Kwanini tunamshukur Mungu kwa uhai wakati yeye ndo alituumba na alipaswa kutupa uhai. Lakin tunashukur kwa nafasi na upendeleo fulani. Kushukur humaanisha kuthamini. Kisaikolojia mtu hujiskia vizuri anapothaminiwa hata kwa mchango kidg anaoutoa kwa watu au jamii...
  8. Appollo 11

    Usafiri wa treni ya SGR sio usafiri wa uhakika

    Umeeleza SGR lakin ushahidi umetoa kwa MGR, nahis ulikua unaangia kwenye tovuti tofaut na uliyokua ukitaka. Ungepaawa kuuliza watu kabla ya kuleta uzi.
  9. Appollo 11

    Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

    Wayahudi sio Wakristo. Kasome vizur.
  10. Appollo 11

    Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

    Israel ni wayahaud (Jews) sio Wakristo. Takriban 76% ni wayahaud, 18% waislamu na 1.6 % ndo Wakristo. So, Unashindwa kutifautisha ukiristo na uyahud??? Au badili dini uwe myahudi maana wayahudi sio wa kristo.
  11. Appollo 11

    Ayatollah Khamenei akimbilia mafichoni

    Uliisoma mpaka mwisho chief kujua kwann zilirud au ulochukua habar iliyokufaa kisha yalobakia ukayacha?
  12. Appollo 11

    Namtafuta Madam S

    Kafunga
  13. Appollo 11

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nimeona swali tu chief. Labda elimu yangu ndogo. soma vizuri nilichouliza af tazama ulichoandika. Kipine kwenye mizani.
Back
Top Bottom