Recent content by Apple pori

  1. A

    Hasara na Faida za Kuongeza vipindi vya Urais nchini Burundi

    Muda si mrefu hiyo Burundi mtaisikia vita ya msituni na waasi.Huwa nashindwa kuelewa Binadamu hasa aina ya Maraisi kama huyo kwa nini wasiwe na kiasi na kuwaonea huruma akina mama na watoto kwa tamaa za kubadili katiba.Mwisho wake ni nchi kutotawalika Yetu macho.Mungu Ibariki Afrika
  2. A

    Hivi ndivyo nimjuavyo Mwigulu Nchemba

    Wanabodi toeni hoja mbadala, badala ya kushout! tuelezeni kama sifa za Mh.Mwigulu zilizotolewa kama sio na sahihi ni zipi.
  3. A

    Tutafakari maneno haya ya Sitta baada ya kuchaguliwa

    kwakifupi tuseme tu ya kwamba sasa ameingia ktk kambi ya ushindi urais oct 29 2015,ama yeye,au Magufuli au Mwakyembe. mtandao wao ni wa ushindi sasa,sasa kitakachobakia nikupata baraka za Mh.Rais kikwete na marais wastaafu.pia nawashauri wafuatao baadhi ingawa wapo wengi lkn wawemo ktk mtandao...
  4. A

    Uchaguzi: Hii ndio Dira ya Mh. Samuel J. Sitta Kama mwenyekiti Bunge la Katiba

    Naungana na mawazo yenu ya kuwa huyu mzee hii ndio nafasi yake hasa katika kundi lao la wapinga Ufisadi na ambao wanamatumaini ya kubaki ktk system na taasisi ya uraisi 2016.bila ya kuwasahau Mwakyembe na Magufuri wana nafasi kubwa ya kuendesha serikali ijayo.
  5. A

    Historia iandikwe kwa rais mstaafu Mkapa kutuongozea nchi

    Mtu pekee aliye na uwezo wa kututoa hapa tulipo baada ya Mh. kikwete kustaafu ni Magufuri peke yake hilo halina shaka John anajulikana kote kwa uadilifu na uchapakazi wake.Hata mh Mkapa anamkubali ndio maana kampa hotuba zake zote. hiyo nayo ni dalili njema
  6. A

    Wabunge wa CCM wakorofishana, sasa wasusia Vikao vya kichama

    Ninachotabiri iwapo CCM watalazimisha kura ya wazi hakutakua na maana yoyote ya kutunga katiba tena ni heri waondoke tu hapo dodoma wakaendelee kujenga Taifa.
  7. A

    Nape Moses Nnauye afunga ndoa

    Hongera mh.Nape bado Mh Zitto nae ameremete tumuone maana nyie na wengine ndio kati ya wanasiasa vijana mnaochiwa nchi hii mjifunze kuwa na majukumu ya kifamilia uongozi bora huanzia ngazi ya familia.
  8. A

    Ni miraji Kikwete au Said Kubenea, Chalinze?

    Tangu kubenea ashiriki kikamilifu ktk mikakati ya kumg'ngoa Zitto Chadema sina imani nae,ni mtu wa kutumiwa huyo
  9. A

    How James Rugemalira outsmarted the Government of Tanzania (GoT)

    kumbukeni huyu Rugemalira sio mwanasiasa lakini kama hao mnao waorodhesha
  10. A

    Kwa nini mtoto wa mwanasiasa akiamua kufuata nyayo za baba yake tunapiga kelele sana? ni wivu au?

    Huo ndio ukweli kila mzazi angependa kuona mwanae successfuly,pia Ridhiwani ni mwanasiasa kijana aliyejijenga tuache wivu haujengi vijana wenzangu.
  11. A

    Amini usiamini Marando ndo anabomoa CHADEMA

    Chadema mtafukuza kila mwenye akili kubwa,huo ndio ukweli
Back
Top Bottom