Umri wang Miaka 33 natafuta mchumba lazima atoke Morogoro.Awe na elimu walau kidato cha nne.Awe mrefu sijali rangi,asiwe mfupi na awe anajiheshimu.Wassap no 0654 501724
Mimi ni mjasiliamali huwa nauza pop corn shuleni.Inanilipa vizuri.Nataka kubuni biashara nyingine zaidi na wateja wangu wakubwa ni wanafunzi.Unadhani ni biashara gani nikifanya itanipa pesa ukiondoa vyenye vimiminika maana vinakatazwa mashuleni kwavile ni rahisi kwa mlipuko wa magonjwa.Tupeane...
Wadau,
Naomba kujua mwenye uzoefu wa biashara ya vifaa je vinalipa? Nataka kutoka kimaisha.Je mtaji wa sh ngapi unatosha kuanzia?
Mawazo yataisaidia kunijenga.
Karibuni
Umri wangu 32, dini muislam, elimu yangu shahada ya uzamiri, mimi ni mrefu. Nahitaji mchumba awe muislam mwenye kuitii dini, elimu awe na shahada kama ana kazi isiwe ya kwenda night. Asiwe mnene awe mrefu umbo la kawaida.Tukiridhiana tabia awe mke. Awe anaishi Morogoro au Pwani.
Nicheck 0621...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.