Interview na kutafuta wafanyakazi wapya DIT ni ujinga;
juzi hapa wamefanya interview ila kwa mtu wa Physics wakampa paper ya chemistry, automatically wakashindwa interview;
DIT ifumuliwe,jamaa ajitakari;
Sent using Jamii Forums mobile app
nakumbuka tarehe 13/01/2020 ilikua jumatatu, majira ya saa 1 jioni,nilipanda gari mawasiliano pale kwenda gongo la mboto, sasa kama mjuavyo gari zenu za dar mida hiyo upandaji wake ni nguvu nyingi akili kidogo, nikafanikiwa ku-apply hizo mbinu nikapata siti ile karibu na mlango;
sasa ghafla dada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.