Recent content by ApolloTZ

  1. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Daniel Ole Njoolay, amewafukuza wanafunzi Kidato cha 4 kwa kutotoa Tsh 70,000 ya kambi

    ulitegemea ale chakula ambacho kimechangwa na wengine, acha kulialia huo mchango ni makubaliano ya wazazi wewe ndo tatizo
  2. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania Mpango mkakati wa serikali dhidi ya vijana wanaobadili picha na video za Mama Samia kupitia ai kuwa za ovyo

    vijana wamekosa adabu na heshima kabisa, wakimatwa waanze kulialia na kutafuta huruma kwa jamii, wanachofanya sio sawa
  3. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

    ongezea kwamba kwenye vikao vya kamati za ulinzi na usalama Hao washauri wa mgambo kwa mkoa au wilaya TPDF ndo seniors kwa vyombo vya ulinzi vyote
  4. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimejiandikisha NIDA miezi 2 iliyopita mpaka sasa hakuna kitu. Nawezaje angalau kupata hata namba tu?

    fika ofisi ya NIDA yoyote iliyo karibu na ww watakusaidia hawana baya
  5. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo ya ajabu ya taasisi zetu - NIDA

    vitambulisho vimetolewa vingi saana vipo kwenye ofisi za serikali za mitaa lakini cha ajabu hamtaki kwenda kuvichukua mnakuja kulalamika huku, ulitaka wakuletee nyumbani kwako.....jifunzeni kuwa watu wakujitahimini na ww umefanya jitahada gani kuliko kuwa mlalamikaji tu hovyo nenda ukatafute...
  6. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Lindi Mjini wamekosea majina yangu sahihi wakati wa marekebisho mara mbili mfululizo, inanigharimu zaidi

    huku ndo kwenye msaada? au ofisini kule ndo ungepeleka malalamiko huku sio kila siku unakimbilia mtandaoni
  7. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania Tangu 2018 sijapata namba yangu ya NIDA. Shida ni nini?

    sio uzembe ni ujinga wako
  8. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NIDA Kinondoni wanahatarisha Faragha ya Wateja wao

    huku kwetu nsiku za nyuma kdg ndg mwandishi, kulikuwa kuna utaratibu wa kubandika mapingamizi inaitwa objection, huwa zinabandikwa kila mtu aone, kama kuna shida kwa mhusika mtu yeyote anatoa taarifa au kama kuna taarifa imekosewa basi unapewa muda kupitia karatasi hizo ndani ya siku kadhaa...
  9. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania Kenya wanajivunia generation Z, Tanzania tunajivunia uchawa!

    inamaana kuandama nayo ni ustaarabu au ni sehemu ya maendeleo? , ufahamu na ufikiri wenu ni.....
  10. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NIDA wanatoa vitambulisho kwa madereva wa kigeni kwa lengo la kuwasadia wapate pasipoti za Tanzania; kitambulisho kimoja kinalipiwa hadi milioni moja

    asee hizo allegations unazotoa pasipo uthibitisho ni matumizi mabaya ya demokrasia acha kabisa kutoa shutuma kwa namna hiyo kwa taasisi za serikali
  11. ApolloTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Jeshi la Polisi liongeze muda wa kuomba ajira kutokana na changamoto ya mtandao

    kama una solution au wazo la kusaidia weka hapa usaidie na wengine
Back
Top Bottom