Recent content by Apollo

  1. Apollo

    Uber itaanza kuweka matangazo kwenye App yake

    Uber itaanza kuweka matangazo katika app zake mbili, app ya Uber ambayo inatumika kuita usafiri (gari, bajaji, pikipiki n.k) na katika app ya Uber Eats. Watumiaji wa app hizi wataona matangazo wakati wa kutafuta usafiri, kusubiri usafiri kufika na wakati wa safari. Matangazo (Ads) yatakuwa ni...
  2. Apollo

    Fahamu kuhusu mgomo uliopo katika mtandao wa 'Reddit'

    Sio peke yako boss, watu wengi wanatumia Apollo kwa sababu ina mwonekano mzuri zaidi ya Reddit.
  3. Apollo

    Fahamu kuhusu mgomo uliopo katika mtandao wa 'Reddit'

    Bado hawajasema lolote lakini inawezekana wanalipwa vizuri kwa data zao kutumika kwenye Generative AI
  4. Apollo

    Fahamu kuhusu mgomo uliopo katika mtandao wa 'Reddit'

    Habari wapenzi wasomaji! Leo nataka kuongea nanyi kuhusu mgomo unaoendelea kwenye Reddit na API yake. Kama mnajua, Reddit ni moja ya mitandao maarufu zaidi ya kijamii ambapo watu wanaweza kushiriki maoni, habari, picha na video za kuvutia. Lakini hivi karibuni imeingia katika ugomvi mkubwa na...
  5. Apollo

    WhatsApp imeanza kuweka mfumo wa Channels

    WhatsApp ina watumiaji wengi sana kuliko hata Telegram na Instagram. Na watumiaji wa WhatsApp wanafungua app hii kila siku. Telegram itapata wakati mgumu sana baada ya mabadiliko haya kwa sababu WhatsApp itashika soko lake kubwa na kutumia power yake ya Instagram na FB. Katika mabadiliko...
  6. Apollo

    WhatsApp imeanza kuweka mfumo wa Channels

    Yes, baada ya Kuona Telegram inafanya vizuri kwa kutumia mfumo wake wa Channels
  7. Apollo

    WhatsApp imeanza kuweka mfumo wa Channels

    Namna ambavyo watumiaji wa WhatsApp wanaitumi app ya WhatsApp; itabadilika na soon WhatsApp itakuwa ni mtandao wa tofauti zaidi. Itakuwa ni sehemu ambayo sio lazima ukimaliza kuchat na rafiki yako kwenye WhatsApp, unafunga app ya WhatsApp na kufungua app ya Instagram ili kufahamu habari...
  8. Apollo

    Instagram inaweka sehemu ya kurekebisha ujumbe wa DM

    App ya Instagram inaweka sehemu mpya ambayo itawezesha watumiaji kurekebisha ujumbe wa DM. Kwa sasa Instagram haina sehemu ya kurekebisha (edit) ujumbe katika sehemu ya DM. Endapo kama ukituma ujumbe, utaona hakuna sehemu ya ku-edit, sehemu ambayo ipo ni "unsend" ambayo inafuta ujumbe ambao...
  9. Apollo

    WhatsApp ipo tayari kufungiwa Uingereza kuliko kulegeza usalama wa faragha

    Signal ndio ilikuwa app ya kwanza kusema kuwa ipo tayari kufuta upatikanaji wake kwa watumiaji wa Nchi za Ulaya kuliko kukubali utaratibu mpya ya kudhoofisha usalama wa encryption. Ilionyesha msimamo mkubwa na wengi waliisifia kwa kitendo cha kuwa na msimamo. Wiki iliyopita Head of WhatsApp...
  10. Apollo

    Samsung imetimiza miaka 85

    Mkuu upo? Long time sana. Bless up
  11. Apollo

    iSIM ni teknolojia mpya ambayo itaondoa mfumo wa eSIM

    Teknolojia inazidi kukimbia na kila siku teknolojia mpya inatokea na kubadilika. Wiki hii katika kongamano la Mobile World Congress (MWC) 2023; teknolojia mpya ya iSIM ilitambulishwa rasmi na kuonyesha ni teknolojia ambayo itakwenda kufuata baada ya eSIM. Ni teknolojia mpya ambayo itakwenda...
  12. Apollo

    WhatsApp itaweka sehemu ya "ku-edit message"

    Nashangaa kwanini WhatsApp mpaka leo inashindwa kuweka feature kama hii ya muhimu kabisa. Ila inawezekana mfumo na muundo wake ni tofauti.
Back
Top Bottom