Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
Kuna baadhi ya madili hufichuliwa na kutangazwa kwenye runinga. Mfano, mafuta kwenye bandari bubu nk. Je, wahusika hukosa posho ya kuwapa polisi au Kuna baadhi ya polisi hawapendi posho.
Mimi nimeona madili mengi polisi wakipozwa. Kwanini baadhi ya madili unaitiwa mpaka waandishi wa habari...
Baadhi ya watu wanaotumia hayo maneno huwa wameishiwa hoja, au wana nia zao za kibinafsi. Kiufupi watu hawa hupenyeza vioja vyao kwenye legacy ya mwalimu Nyerere ili wapate ili ionekane kwamba wanaenenda kama Nyerere hivyo jamii isiwahofie.
Mfano ili kufuta legacy ya mwendazake, "Mradi huu...
∆ Aghalabu, mcheza kamari akishinda, huanza kucheza zaidi kwa pupa huku akipuuzia mbinu za kuepuka hasara.
∆ Mcheza kamari akishinda mara nyingi hujisifia kwa mbinu bora aliyotumia katika uchambuzi. Lakini akishindwa huweka lawama kwa kuzingatia madhaifu ya nje kama mchezaji kukosa penalty nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.