Recent content by AON

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Ata mm kwenye kituo changu Nduruma S/M wanaume niwengi kuliko wanawake hii ni dalili nzur kwa waopenda mabadiriko
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Ata asemeje Lowassa ndo chaguo letu!!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

    TBC kuna nini mbona watangazaji wake wanakufa hivyo?? R I P Malongo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    Kama ww niwa meru nenda mshahara wako upo maana nackia wote waliletewa kama hujapata bac kunamakosa ulifanya au wenyewe halmashauri ndo walifanya ukifuka anzia ofic ya utumishi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    Ambao hamjapata mishahara nendeni halmashauri kwana kunakosa madogomadogo ambayo yanafanywa na halmashauri yanayopelekea ukose haki yako Mi binafsi wa mwez 5 nilikuwa cjaupata lkn nilienda halmashauri nikafighit nikaupata tareh 24/06 Mnaolalamika token nyumban nenden halmashauri mkapewe majib...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hili Tangazo la Timu Lowassa linatudharau!

    Ebu weka hizo video tuzione
  7. A

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere: Swali kwa wagombea urais Tafakuri chokonozi

    Hili ni pingamiz lingine kwa watia nia wa bara kwa watia nia kutoka visiwani na mm nawaza tu tena kwa sauti kubwa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mkoa unaoongoza kwa kutoa wasomi wengi Tanzania

    Ata mi nijuavyo ni mkoa wa mwanza hasa wilaya ya Ukerewe
  9. A

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    Kama wameshindwa kulipa mishahara si nchi imewashinda kuongoza ! na kuna mwingine anausika na mambo ya mishahara nae eti katangaza nia!!!!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya St. Joseph Arusha campus

    Chuo hahiko kwenye jumbo la Lema kiko kwenye jimbo la Olemedey CCM Arumeru mashariki
  11. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa bilion 10 kulipa walimu wapya

    Wizara ya elimu haiusiani na mishahara ya walimu. Mambo ya mishahara ni wizara ya fedha
  12. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa bilion 10 kulipa walimu wapya

    Wizara gani mkuu?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa bilion 10 kulipa walimu wapya

    Hatimae serikali imetoa kauli kuhusu walimu wapya ambao hawajapata salary yao ya mwez 5. Swali liliulizwa na Mh. Rage mbuge wa Tabora mjini akitaka kauli ya serikali kuhusu walimu wapya waliopangwa jimboni mwake pamoja na halmashauri nyingine ambao hawajapata salary yao. Jibu lilitolewa na Mh...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Urais 2015, Walimu wamuunga mkono Lowassa

    Huyu mwalimu ni team Lowassa mwenyewe tu asiwashawishi wenzake kumuunga fisadi
  15. A

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    Mbona Mimi niko kituo cha kazi lakini sijapata hiyo first salary!
Back
Top Bottom