vodacom byebye nyie kazi uizi mtupu. ngashtuka!!
airtel nitakupenda daima nitakutumikia milele na milele.
voda mmeniibia vya kutosha. kazi kunilazimisha nijiunge kila siku halafu nikikataa mnafyeka pesa zangu zote zilizo kwenye acc yangu. msonyoooooo. nimewavumilia weee sasa nimeamua kutengana...
kwaheri vodacom!
umeniliza vya kutosha na kuniibia vya kunitosha.
karibu airtel mtandao wa kipekee:) nitakupenda na kukutumikia milele. Amen!
RIP VODAAAA.
hata kama hana mvuto lkn pesa anazotengeneza au kuingiza ni nyingi kuliko huyo demu wako mwenye mvuto.
kikojoleo cha G kinamtosha acha kupiga keleleeee
me nimeongea naye kwenye simu mara ya mwisho jumatatu ya wiki hii akaniambia nimcheki siku inayofuata yan j4. yani ninavyokuambia hadi sa hv najaribu no zake hazipatikani n'goo.
YANI MAJANGAAAAAAA. KELEUWIIIIIII.
aiseee acha tuuuu me nimelizwa m50 cash ww unalilia m4???? tuko wengi kinoumaaaa. ila mm sina machungu kivileeeee nilishakombaga faida zangu zakutosha mkuuu. nilikua nachukua faida kila mwezi.
sasa hivi mkurugenzi kasepa zake mbali hata hatujui alipo. yani aombe nisimkamate.
Mkuu una maswali mengi kwani wee ni polisi???
Me nimetumiwa msg hii kutoka kwenye no nisiyoifahamu. So nimecopy msg jinsi ilivyo nakuileta hapa.
Ili nijue kama ni ya kweli au kama kunaaliyetumiwa ujumbe kama huu.
Asante mkuu
Habari zilizotufikia hivi punde.
Mtanzania yeyote kaa makini usiokote kitu chochote ambacho unamashaka nacho,kuna bomu zimerushwa toka nchi jirani malawi/rwanda zaidi ya 30zenye uzito usiopungua tani 100. Hivyo basi uonapo kitu kipo kama chupa la chai chenye rangi ya fedha usikiguse piga no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.