Baada ya kusoma huu uzi niseme tu pumzika kwa amani baba yangu. Ulikuwa baba mwema sana, ulituacha tukiwa wadogo sana na wakati malengo yako bado hayajatimia lakini Mungu ni mwema tunaona maono yako yakitimia katika maisha yetu watoto wako, like you never left us.
Inaelekea ni hivyo mkuu, manesi mara nyingi sana wanaponzwa na kauli zao na kwenye hilo hawajifunzi, very poor customer care and unnecessary arguments na wagonjwa, sijui kwa vile wengi wao ni wanawake bse wanawake wenyewe kwa wenyewe huwa wanazinguana katika hali ya kawaida. Ukishamjibu mama...
Naunga mkono wafanye uchunguzi wa kina ili HAKI ipatikane kwa wote, nina maswali machache najiuliza:
1. Circumstance zipi zimepelekea mama kujifungulia sakafuni?
2. Kuanguka kwa mtoto ndio chanzo cha kufariki kwa mtoto?
3. Nurse kwanza hakusikia mapigo ya mtoto na akapelekwa ultrasound ikaona...
Resources ziko scary always, hata miongozo ya tiba ni muhimu kuzingatia affordability ya services. Ni kweli ni option hiyo ipo, but magonjwa ni mengi na mambo ya kufanyikaa ni mengi pia sidhani kama budget itaweza kucover hizo gharama kila mmoja kupimwa kwa very advanced tests.
Zipo isolated...
Tunazungumzia virusi vya HIV vyenye uwezo wa kujizalisha 1 million to 1 bilion new virus kwa siku, so vingine vinakuwa kwenye mzunguko wa kawaida na vingine kwenye maficho.
Kipimo cha viral load kinaposema undetectable number ni just calibration tu, haimaanishi hakuna kirusi hata kimoja kwenye...
Mapambano kati ya mwili na virusi vya HIV huchukua muda mrefu. Ndio maana mtu mwenye afya akipata maambukizi anaweza akachukua miaka 5 - 10 ndio mwili uanze kuonyesha dalili. Kinachotokea:
1. HIV virus wana tabia ya kujibalisha kukwepa antibodies zinazozalishwa ambazo zinakuwa ni specific kwa...
Daah! kumbe tuko wengi, mimi leo ni siku ya tatu nimepoteza uwezo wa kunusa kabisa ladha ya chakula naskia kwa mbali sana hapa nimepanic sana, tusaidiane mawazo wakuu kwa aliyetumia formula ambayo imemsaidia
Acha hizo wewe! unataka kublock hoja kwa kisingizio eti ataje kituo, POOR U! basi wewe tutajie hapa kituo kimoja ambacho hakina matatizo hayo na msd, unaweza kuona gari kubwa lina nembo ya MSD limekuja kituoni ukapata faraja, kumbe ndani kuna kondomu na dawa za uzazi wa mpango, mwananchi akienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.