Recent content by anti-war

  1. anti-war

    Makontena ya RC Paul Makonda yapigwa mnada Bandarini

    Makosa matatu aliotaja raisi juu yake, haikupaswa aendelee kuwa uraiani.
  2. anti-war

    TANESCO wahukumiwa kuilipa IPTL Tshs Billion 700 ikiwemo Tshs Billion 306 zilizochotwa katika Account ya Escrow

    Unaenda wodi wa wakazi kutafuta bikra? Huyu mkali1.5tr yule ndo hiyo!Ccm hawawezi fungana. Na hata fisadi ahame cdm hawawezi mfunga Ufisadi Ni mfumo wa chama chao.Sawa na kumvuta mwezi aliyezama pangoni auliwe mara paa baba ako yupo nyuma u Yupo sahihi haswa huyu. Mafisadi wooote...
  3. anti-war

    TANESCO wahukumiwa kuilipa IPTL Tshs Billion 700 ikiwemo Tshs Billion 306 zilizochotwa katika Account ya Escrow

    Tunamtesa singa singa tu! Inasemekana kulikuwa na Ac mbili, moia ndo ile, jk akasema siyo zetu. Akina chenge etc Ila ccm?????wa najua kulinda mafisadi Nawaza change, tibaijuka akimbie chama leo tuone itavyokuwa
  4. anti-war

    TANESCO wahukumiwa kuilipa IPTL Tshs Billion 700 ikiwemo Tshs Billion 306 zilizochotwa katika Account ya Escrow

    Wiki hii wa Lumumba hatua cha kucoment humu, hadi akili ikae Sawa. Kila wapinzani wasemacho tunaona mavi tu. Wacha tuendelee mpaka Siku mchina ake kuchukua bandari. Kaindoka yule kaja huyu wa kukopa sasa ajae atakuja wa kukumbana na wenyewe wanataka pesa zao, ndo bandari, mbuga etc. Ok hongela...
  5. anti-war

    Hujuma zingine Wagombea wa CHADEMA Simiyu

    s ijui hapa wale CCM kindakindaki wanasimamia wapi? juzi tu kuna waliokatwa kwamba siyo watanzania, mara korogwe, nazani buyungu kimewafunza kitu, wenye akili watapita na kujifanya hawayaoni ila mazwazwa ya kutumiwa yataendelea bila ya aibu kuytetea hili, 2020 huu mchezo utaonekana wa kawaida...
  6. anti-war

    Daktari: Figo moja ya Bobi Wine imeacha kufanya kazi

    hivi mtu kama m7 akiachia madaraka akajilia pensheni anapungua wapi? tena unaweka mtu wako tu
  7. anti-war

    Rais Magufuli ateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa SADC 2018/2019

    SADC na CDM wapi na wapi? Kagame cheo chake unakijua mkuu? ingekuwa njema sana kama tunaondoa ushabiki wa vyama katika masuala haya. CDM hakijawahi kushika nchi, CCM imeshika miaka mingi sijui 50,lakini kero kubwa ya CCM ni CDM au wapinzani. Pigeni kazi, maendeleo hayahitaji kuimbwa wananchi...
  8. anti-war

    Waitara: Gharama za marudio ya uchaguzi hayanihusu,cha msingi nihakikishiwe ubunge wangu tu

    afu mpuuzi mmoja anasema huyu hanunuliwa huyu? anaunga juhudi au maslahi binafsi? ila 2020 hapewi kiti, hesabu zake hazjaenda vzuri, angekuwa mjanja angesubiri 2019 wakati pamoto hata ndani ya chama ccm ndo aende, anapoozwa mwaka huu na mwakani tu
  9. anti-war

    ZAMBIA: Wananchi wapinga utekelezwaji wa tozo kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

    kuna tutachoiga tu ili kuongeza mapato kama siyo uganda, basi huku na kama laa basi Misri, ukiwa na followers kadhaa unahesabika kama chombo cha habari, unalipia tozo kama vyombo vyengine
  10. anti-war

    Kamati Kuu ya CCM yateua wagombea ubunge majimbo ya Monduli,Ukonga na Korogwe Vijijini

    ik le Itakuwa moja ya ahadi uvunjwaji wa katiba ya chama. dhalau kwa wanachama kwani wapo wenye vigezo zaidi ingefanyika kura za maoni sehemu husika wageni wasingepita hata kwa rushwa. "vijana tengenezeni majina nje ya chama kwanza then ukirudi huku una pata shavu, bado tuna miaka zaidi ya 13...
  11. anti-war

    Mwijage: Dangote ana matatizo ya mkataba, hatujampa gesi na hatuwezi kumpa mpaka mkataba wake uwe sawa

    kuna kipindi watu walihoji tukawaambia hakuna tatizo ni mitambo tu ndo anafunga huyu dangote, kumbe twiga na walikuwawamefunga???ni viwanda vipi mnavyosema 3000+ kumbe vya kale vinatushinda, tuache usanii aisee. wacha tusonge kuunga juhudi za mkuuu, haya mengine hayatuhusu saana japo kujenga ni...
  12. anti-war

    Mwenyekiti wa Halmashauri Monduli, na viongozi wa Chadema wa Wilaya wajiunga na CCM

    "ccm kwa kipindi hiki kinapokea watu kwa mafuriko, ni afadhali kama walitoka kwao 2015, ila kama wapya kabisa wajiangalie sana.mwenyekiti anawaita almasi zilizopotea sasa zikija anazitumia, kwa kweli bahari ikitulia hawa wengine waliozoea kupiga mbizi nna uhakika wataanza piga mbizi sasa wakiwa...
  13. anti-war

    Hivi PSSSF bado haijalipa?

    asante ntalifanyia kazi
  14. anti-war

    Hivi PSSSF bado haijalipa?

    pension ya kila mwezi, mumewe alikuwa mwalimu
Back
Top Bottom