Recent content by anthonymalegesi

  1. anthonymalegesi

    Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume waliooa

    Mh Sent using Jamii Forums mobile app
  2. anthonymalegesi

    Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume waliooa

    Kama ulishawai kufanya mpz na mchaga yeyote au mtu anaetoka ukanda huo utakubaliana na Mimi kuwa Simu zote hata kama ndugu yako ukiona kaoa Mke was kichaga kaoa sura sio tendo la ndoa hawajuagi kabisa hivyo wolper asitudanganye hapa angekuwa anajua asingekua anaachwa awauzie wasiojua historia za...
  3. anthonymalegesi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Du toka lini jamani mbona hivyo kuna mtu yeyote au wewe uliepata Bahati katika hili tuwasiliane nijue mmefundishwaje nami nipate maarifa
  4. anthonymalegesi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Naomba nijue hiyo training inafanyika lini na kama ni dar tujue tu nakuja au mrekodi then tanunua CD za masomo tusome mi naitaji kuwa bilionea bhana na hicho kitabu pia na pia Mimi nimefungua demo ya Fx kuna mwalimu wangu ananipigia simu kutoka malekani ananifundisha jinsi ya buying and selling...
  5. anthonymalegesi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Wadau naona kama utajiri unanukia siku nikijua biashara hii na jikapata a ideas 100%
  6. anthonymalegesi

    Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

    Sio kwamba aligeuka nyuma kwa kugeuza shingo yake LA hasha Bali zile fikra za mawazo kichwani du tumeuacha uzuri wa miji hii ilokuwa na starehe za kila aina ndo kugeuka huko ili unielewe takupa mfano mwingine thabiti Musa vua viatu hapa ni mahali patakatifu yaani aache zile hasira zake kwanza...
Back
Top Bottom