Recent content by Anthomarselian

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

    Elimu inahitaji kuwa na ubora. Nampongeza sana huyu Prof. Ndalichako, anafanya kazi nzuri sana.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Bombardier yetu inazunguka zaidi ya saa uwanja wa ndege

    Ni jambo la busara kushukuru kwa Mh. Rais kwa kulifufua shirika la ndege la Tanzania, waliopita walijaribu lakini hawakufanikiwa, tumpe moyo na sisi watanzania tuthamini vya kwetu hata kama ni kidogo ni cha kwetu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya biashara ya nguo za mitumba, wafanyabiashara tukimbilie wapi?

    Hii ni fursa..anza kujifunza kuhusu biashara za nguo zinazotengenezwa na viwanda vyetu...kama batiki...vitenge, na kanga....juwa jinsi ya kutengeneza faida kupitia bidhaa izo...kwa uzoefu wako wa biashara ya nguo....hautokwama...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Nashangaazwa kuona makada wa vyama mnabisha na kushabikia kuhusu ujazaji watu katika mikutano. Swala la msingi watu kujaa kunatusaidia nini na matatzo yanayotukabili nchi yetu. Mtanzania# tafakari na chukua hatua.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Neema kwa walimu, kulipwa malimbikizo

    Mtoa mada ameweka kichwa habari kwa mtazamo wa Neema, na amesahua kama ni haki yao, sasa tokeo lini stahiki yako ukilipwa inakuwa neema, mie ningeshauri wangedai na fidia ya ucheleweshwaji wa stahiki zao.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kukosekana umeme

    Sasa TANESCO hamna long term plan? Mnamawazo mgando. Mlizani kwa mitambo yenu iliyozeeka itaweza kuhudumia mahitaji yanapoongezeka kila siku? Uyo mkuu wa kitengo cha PLANNING anafanya kazi yake kweli? Ama UKATA na attitude ya kutegemea RUZUKU ya serikali imeathiri shirika? Ya TANESCO yanamengi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania NOAH at excellent condition (41000KM) only

    Changamkieni gari nzuri hiyo kwa 12m tu!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Townace 7.5m (Plus engine & Gear box BUREEEEEEE!)

    Gari hii INA 4wd hivyo kwa sehemu zote zenye barabara mbovu gari hii inafaaa sana. Bei ni 7m tu! Toyota townace 4wd turbo diesel engine + 4 installed Yana kazi tyre.
  9. A

    JamiiForums Tanzania NOAH at excellent condition (41000KM) only

    Wakati huu wa mvua usafiri ni muhimu changamkia ofa hii
  10. A

    JamiiForums Tanzania NOAH at excellent condition (41000KM) only

    brave_2 tafuta nafasi uje kuichukua.
  11. A

    JamiiForums Tanzania NOAH at excellent condition (41000KM) only

    I guarantee test yake ni safi sana! Nilisafr nayo last year mpaka Kilimanjaro! It was exciting! Racing with V8
  12. A

    JamiiForums Tanzania NOAH at excellent condition (41000KM) only

    Ni ya mwaka 2003
  13. A

    JamiiForums Tanzania NOAH at excellent condition (41000KM) only

    brave_2 tuwasiliane 0714200966
  14. A

    JamiiForums Tanzania Townace 7.5m (Plus engine & Gear box BUREEEEEEE!)

    nduu wakinyanambo mpo mchukue mchuma mkafanye biashara? Makambako + njombe!
  15. A

    JamiiForums Tanzania NOAH at excellent condition (41000KM) only

    Danny Fanya 7m nikupe townace old model! Ipo kwenye hali nzuri sana Details zake: 1990cc automatic diesel engine. 2CT 4WD 4 Yana kazi tyre. Metallic silver. Duty and road licence paid. Manufacture year: 1993
Back
Top Bottom