Taarifa ya kukosekana umeme

Taarifa ya kukosekana umeme

Sasa TANESCO hamna long term plan? Mnamawazo mgando. Mlizani kwa mitambo yenu iliyozeeka itaweza kuhudumia mahitaji yanapoongezeka kila siku? Uyo mkuu wa kitengo cha PLANNING anafanya kazi yake kweli? Ama UKATA na attitude ya kutegemea RUZUKU ya serikali imeathiri shirika? Ya TANESCO yanamengi uko nyuma ya pazia. Kila sekunde inayopotea bila umeme TANESCO inapoteza hela ambayo ingewawezesha kukarabat mitambo yao waliorithi kwa wakoloni na hata kununua mitambo mipya.
 
ukitumia maji,gesi au nyuklia hitilafi ni hitilafu umeme utakatika tu.

Amesema hitilafu imerwkebishwa lakini bado kuna maeneo mengi haya umeme kwa sababu ya upungufu wa maji.. So swali la gesi ni valid bado
 
Vipi kuhusu ile gesi......?........nini kimetokea tena.......?....

kuhusu gesi...ule mtambo unawashwa kwa phase..hauwezi ukawashwa kwa capacity yake yote...slowly mpaka utakapo fika full capacity. Kwa hiyo kuwa mpole. Mchana mwema.
 
-->>eti ile mitambo ya gasi ni USED?
somewhere?/ can't works work wells
 
kuhusu gesi...ule mtambo unawashwa kwa phase..hauwezi ukawashwa kwa capacity yake yote...slowly mpaka utakapo fika full capacity. Kwa hiyo kuwa mpole. Mchana mwema.

Asante.......
Jioni wapi tupate hata kinywaji baridi tuondoe hili joto........
 
Amesema hitilafu imerwkebishwa lakini bado kuna maeneo mengi haya umeme kwa sababu ya upungufu wa maji.. So swali la gesi ni valid bado

Kwa mujibu wa taarifa yao ni hivi: Kukatika kwa umeme maeneo mengi ya nchi ni sababu ya hitilafu njia kuu HALE walivyorekebisha hilo tatizo umeme ukarudi[ulikatika saa 10 au 11 usiku ukarudishwa saa 1 asubuhi hivi]. LAKINI kuna maeneo bado yatakosa umeme kwa sababu ya upungufu wa umeme unaotegemea maji. Kwa maana hio mgao fulani. Gesi ianzalisha MW zake zile zile ambazo haziwezi kutosheleza nchi nzima.

Nini kigumu kuelewa hapo. Siasa nawaachia nyinyi mimi siziwezi ila nimetafsiri tu huo ujumbe.
 
Ishu sio mkurugenzi wa umeme,mm nafanya kazi tanesco najua matatizo yanatokana na serikali ya ccm kutokua na vipaumbele wanangoja kipindi cha uchaguzi ndio waintroduce miradi kama ya gesi.

Mtera maji yameisha na uzalishaji hakuna,inaelekea hivyo kihansi,na vituo vingine,huku maji yameisha huku majaribio ya gesi tena kipindi cha uchaguzi hayajazaa matunda.

Serikali iliahidi kuleta gesi toka mwaka jana mwezi wa 11,mara mwezi wa pili mwaka huu,baadae wakataka watumie fursa hiyo kipindi cha kampeni sasa mambo yamekua ndio sivyo.

Hakuna hujuma yoyote ni serikali kutaka sifa za kijinga kipindi cha kampeni kwa kufanya majaribio ya gesi alafu maji yamekata vituo vya kuzalisha umeme.
 
Mnafurahisha.....
Wiki nzima umeme mnakata ila mmeuona huu wa jana tu

Mfyuuu
 
Kwa mujibu wa taarifa yao ni hivi: Kukatika kwa umeme maeneo mengi ya nchi ni sababu ya hitilafu njia kuu HALE walivyorekebisha hilo tatizo umeme ukarudi[ulikatika saa 10 au 11 usiku ukarudishwa saa 1 asubuhi hivi]. LAKINI kuna maeneo bado yatakosa umeme kwa sababu ya upungufu wa umeme unaotegemea maji. Kwa maana hio mgao fulani. Gesi ianzalisha MW zake zile zile ambazo haziwezi kutosheleza nchi nzima.

Nini kigumu kuelewa hapo. Siasa nawaachia nyinyi mimi siziwezi ila nimetafsiri tu huo ujumbe.
Swali lake la gesi lifatia tamko lilitolewa last month kwamba walikuwa wanatest mitambo ya gesi ubungo na umeme utakuwa wa UHAKIKA.. hilo ni tangazo lilitolewa .kigumu kuelewa hapo nn?
 
Back
Top Bottom