NOAH at excellent condition (41000KM) only

NOAH at excellent condition (41000KM) only

I guarantee test yake ni safi sana! Nilisafr nayo last year mpaka Kilimanjaro! It was exciting! Racing with V8
 
12M unapata Noah ya 2005 from SBT Japan plus ushuru & kodi, mwenyew utafarah network marketing, tuamke TZ
 
12M unapata Noah ya 2005 from SBT Japan plus ushuru & kodi, mwenyew utafarah network marketing, tuamke TZ

I like your comment lakini gari si mwaka tu ndio factor ya bei mkuu! ila pia wabongo wengi waoga sana kwenye kununua vitu wenyewe

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Danny Masawe.
Mkuu fanya 6.5mil kuna premio iko ktk hali nzuri. Kama vipi nichek kwa whatsApp utumiwe picha uichek na ukiridhika biashara ifanyike. Gari iko Dar. 0719402372.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom