Recent content by ANTDOTE

  1. A

    Kifo cha William Lukuvi na Jenista Muhagama. Ni fumbo kubwa linalotakiwa kufumbuliwa, Who is Next?

    Ni mwendo wa hekaya za abunuasi tu Sasa! The next is you.
  2. A

    Iran strikes Saudi Arabia’s major oil refinery

    Five Iran naval ships have been sunked (TRUMP). More than 555 Iranians have so far been killed (RED CRESENT)
  3. A

    Sherehekeni kwa muda, mnaenda kupewa somo

    Daah! Umeandika kwa uchungu sana Mkuu. Pole sana ila ndio hivyo Ayatollah is no more!
  4. A

    Majini na Uislam Kamili - Quran

    Kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya uislam na majini. Uislam-majini-albadiri. Waislam wengi (mfano Mashekhe) ni waganga, utawaoana na Pete za majini.
  5. A

    Kama kumsaidia Rais Matokeo ni haya basi kuna tatizo mahali, Kangi Lugola wasigombanishwe na serikali

    Mada nzuri Mkuu. Embu ifupishe Sasa kwa Aya (paragraphs) mbili zisizozidi maneno 250.
  6. A

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar, Dkt. Rahma Salim Mahfoudh Ateuliwa kuwa Naibu Gavana wa BOT

    Mambo ya fedha Yana fall katika mambo ya pamoja ya Muungano.
  7. A

    Nahitaji Dawa ya kuzuia kuongea au kumjibu mke wangu

    Embu safiri kwanza ukapumzike mahali upate nguvu mpya. Kuna kitu hujasema hapa, ukajitafakari.
  8. A

    Hovyo kabisa Wewe Msemaji na ndiyo unayetuponza pakubwa sana kila Siku hadi sasa tumebaki 'kudemadema' tu Kimatokeo viwanjani

    Siku zote ukweli Huwa unauma, na watu wengi wanapenda soft messages
  9. A

    Nilisema wapinzani hawa wa kudandia kila jambo hawataingia Ikulu mpaka Yesu atarudi. Washahamishia majeshi kwenye dhahabu

    Wee fuatilia watakavyokujibu ndio utafahamu dhahabu walizo nazo kichwani.
  10. A

    BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Kwanza rekebisha uandishi, usiandike "hii nyimbo", usahihi ni huu wimbo. Pili, Tatizo la ujumbe katika nyimbo nyingi za wasanii ni walaji. Inaonekana nyimbo za mapenzi zenye maneno makali ndio zina soko. Wangeimba ukulima wa kisasa mngewaangalia?
  11. A

    Nina miaka 25 nimeota mvi karibu kichwa kizima

    Ukifika miaka 30 zitakuwa zimehamia bondeni
  12. A

    PostGE2025 Askofu Gwajima: Kwenye mkesha wa mwaka mpya kuna watu walikuwa na bastola wanataka kuingia kanisani

    Anatafuta more airtime na sympathy tu huyu. Eti wakati wanakagua wakawakuta na bastola. Hao ni wajinga wa wapi?!
  13. A

    Hivi Samia na Mwigulu ,akili zao zimewatuma , Kupambana na CATHOLIC Kwa kutumia Akina Ludovic? Kweli Kanisa liliopo zaidi ya Miaka 2000

    Hivi ni Samia (serikali) anapambana na TEC au ni TEC-Catholic inapambana na Samia (serikali).
Back
Top Bottom