Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,448
- 46,216
Daah! Umeandika kwa uchungu sana Mkuu. Pole sana ila ndio hivyo Ayatollah is no more!Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.
Na wa humu msheherekee vivyo hivyo
Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima
Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran
Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena
Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao
Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much
Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi
Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi
Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho
Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni
Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto
Binafsi nimeumia sana......
Bado wanapumua 😅😅😅Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.

Hata wakatk wa Urusi na Ukrain tuliambiwa Unga wa Ngano utakata, leo tu nimekula Chapati nne na Supu ya KondooWaacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.
Na wa humu msheherekee vivyo hivyo
Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima
Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran
Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena
Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao
Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much
Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi
Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi
Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho
Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni
Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto
Binafsi nimeumia sana......
Kila mtu anawaza who is nextYu wapi kiduku, Xi jinping na putin?
Supa pawa ana nguvu tu akihanganika na raia wasio na silaha, Zole anamtoa jashoPutin ajifunze kwa wenzake
Yeye ana hangaika na zelensiki miaka 4 ila mwenzake USA kombola moja tu lina ondoka na mtu.
Ila hawa jamaa USA na Israel ni nyoko sana aisee. Yani wameua kiongozi wa nchi na bado wakawa wanatumiwa picha za maiti yake
Kurupukeni tena kwa maamuzi ya jazba badala ya intelegensia mpigwe kipigo kingine cha mbwa koko 😄😄Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.
Na wa humu msheherekee vivyo hivyo
Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima
Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi makubwa kwa maadui wa Iran
Sherehekeni baadhi yenu wachache ila tambueni hakuna anayeenda kubaki salama tena
Mashariki haiendi kuwa sawa tena nasema hakutakua na normal life tena huko Middle East hususani Israel na kwa wamarekani na maslahi yao
Leo wamevuka mstari mwekundu, this is too much
Kuuangamiza utawala wa kizayuni na kuishusha dunia nzima kiuchumi hususani US ndo njia nzuri ya kulipa kisasi
Mnaoshangilia jueni Iran ndo inayotudai pesa nyingi walikua wanatukopesha bila riba wala masharti yoyote ya ushoga wala usagaji sio kama hao mashetani wa magharibi
Mwisho wa uzayuni lazima utimie vita itapiganwa hadi tone la Mwisho
Hakutakua na ceasefire wala nini hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote dhidi ya Ubeberu na Uzayuni
Shangilieni kwa muda tu ila soon furaha yenu itageuka maangamizi na majuto
Binafsi nimeumia sana......
Kwenye ile top 10 ya viongozi wakuu wa Iran kuna Mossad kibao 😄Putin ajifunze kwa wenzake
Yeye ana hangaika na zelensiki miaka 4 ila mwenzake USA kombola moja tu lina ondoka na mtu.
Ila hawa jamaa USA na Israel ni nyoko sana aisee. Yani wameua kiongozi wa nchi na bado wakawa wanatumiwa picha za maiti yake
Wananchi wa iran gani mkuu, ni hawa hawa wanaoshangilia kifo cha Ayatollah kwa nderemo na vifijo na kurusha fataki kwa furaha, au kuna wengine?hii ni jihad ya wananchi wa Iran na wapenda haki wote