Recent content by Anselem mathew

  1. Anselem mathew

    Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

    Dhu haya wanakuja na nyie warembo njoo tuwaone kwanza kama qualifications za kutoka na mabilionea sio sura ka lichapati unataka bilionea kama unataka mume mwenye gar kuwa nayo kwanza ww
  2. Anselem mathew

    Msaada: Joining instructions chuo cha Bagamoyo

    Dhu ngja waje maana hata Mimi nasubir sana joining instructions sijui lini nitatumiwa
  3. Anselem mathew

    Nina certificate ya nursing, naweza kupata nafasi ya chuo cha serikali kusoma clinical officer?

    Kwann usisome diploma ya nursing tu maana clinical officer hata assistant yake huwez kupata maana qualifications za CA ni D flat kwenye physics chemistry biology English na math
  4. Anselem mathew

    msaada wa mawazo juu ya hili

    Habarini za jioni watu wa mungu. Nilikuwa naomba ushaur jui ya jambo hili ambalo linaniumiza kichwa mimi nimechaguliwa certificate ya nursing ila nadhan kulingana na competition ndo nikajikuta nimechaguliwa certificate ingawa nilikuwa navigezo kabxaa vya kusoma diploma ya nursing maana walisema...
  5. Anselem mathew

    Natafuta shule nzuri za private kwa advance

    Au njoo itaga seminary kama baba na mama wqna ndoa na uwe mkatoliki ada simple kinouma yaaan kuna dogo langu linapiga hapo ila kasumba ya hapo ety o lever wanafaulu sana tofaut na A lever ila tena watakushaur combination ya kusoma sio utake pcm wakati.............,..........
  6. Anselem mathew

    Natafuta shule nzuri za private kwa advance

    Njoo buluba sec ipo shinyanga kila comb ipo na ada ni ndogo kaka na kuna day na boarding kama unaweza life la geto ndo mahara pake hapa
  7. Anselem mathew

    Natafuta shule nzuri za private kwa advance

    Mkuu competition ya diploma walikuengua nn maana najua uliapply brother
  8. Anselem mathew

    Nimehitimu certificate of nursing mwaka huu, mwaka kesho nitaruhusiwa kusoma diploma?

    Hivi wakuu kuna uwezekano wa mimi kuondelea kusoma diploma ya nursing ingawa nimechaguliwa certificate ya nursing mwaka huu na nina qualifications za kusoma diploma kama walivyosema kwenye guldebook kuwa lazima awe na C ya chemistry na biology na D ya physics na english ila nimechaguliwa...
  9. Anselem mathew

    Hivi karibuni idadi ya watu wanaosoma itapungua na kizazi cha wajinga kitapoanza

    Mkuu kumbe tupo wengi mida tu nimefuta txt ya voda ya deni la 2150
  10. Anselem mathew

    Msaada wa taarifa clinical officers training centre Maswa

    Mkuu unachosema ni kwel maana ni wengi tunasubiri mpka saiz kmy tu yaaan na hatujui cha kufanya
Back
Top Bottom