Natafuta shule nzuri za private kwa advance

Tafuta shule kumi bora Tanzania kwa miaka mitatu tangu sasa kwa kidato cha sita kupitia Necta
 
Kwayeyote anayejua shule za PRIVATE ADVANCE zenye ufauru mzuri wa masomo ya sayansi yaani PCB,CBG,PCM msaada tafadhali nataka kujiunga mwakani ..nawasilisha
 
Tofauti na hizo mkuu zenye ada nafuu
Hahahaha hapo umeeleweka, hizo mbona nyingi tu ingia kwenye websites zao na uangalie matokeo yao ya kidato cha sifa kila mwaka utaona mwenyewe badala ya kuambiwa ili usidanganywe
 
Sijakuelewa unamaanisha nn mkuu??
 
Kwayeyote anayejua shule za PRIVATE ADVANCE zenye ufauru mzuri wa masomo ya sayansi yaani PCB,CBG,PCM msaada tafadhali nataka kujiunga mwakani ..nawasilisha
Mkuu competition ya diploma walikuengua nn maana najua uliapply brother
 
Kwayeyote anayejua shule za PRIVATE ADVANCE zenye ufauru mzuri wa masomo ya sayansi yaani PCB,CBG,PCM msaada tafadhali nataka kujiunga mwakani ..nawasilisha
Njoo buluba sec ipo shinyanga kila comb ipo na ada ni ndogo kaka na kuna day na boarding kama unaweza life la geto ndo mahara pake hapa
 
Kwayeyote anayejua shule za PRIVATE ADVANCE zenye ufauru mzuri wa masomo ya sayansi yaani PCB,CBG,PCM msaada tafadhali nataka kujiunga mwakani ..nawasilisha
Au njoo itaga seminary kama baba na mama wqna ndoa na uwe mkatoliki ada simple kinouma yaaan kuna dogo langu linapiga hapo ila kasumba ya hapo ety o lever wanafaulu sana tofaut na A lever ila tena watakushaur combination ya kusoma sio utake pcm wakati.............,..........
 
Back
Top Bottom