Mwanamke ni mtu pekee aliyeongea na shetani direct na hatujui waliongea nn tofauti na kudanganywa kula lile tunda so hawa watu hawawezekani kirahisi jamani tukubali tukatae ila ukifanya tafiti utaelewa tuu anayekataa anakuwa tu ameamua kuziba masikio yake na macho .
Mi nawashangaa mnapata shida kubishana na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria tena wakipumbavu kabisa mtu swala la afya za watu wanaingiza siasa si ni ujinga huo? Acheni siasa bhana lile tukio lishatokea wataalam wanakesha mahospitali kupambana kadri ya uwezo wao kuwanusuru afu wapumbavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.