Recent content by anonymousafrica

  1. anonymousafrica

    JamiiForums: Content Managers/Moderators (10)

    Nafasi yangu kabisa hii🙄
  2. anonymousafrica

    Nas ajifananisha yeye, Biggie na Jay Z ni sawa na J Cole, Drake na Kendrick Lamar, kwenye album yake ya Magic. Awakumbuka na Wu Tang Clan

    mzee unataka Drake avae dickies na khaki, anyoe upara ndo umuweke kwenye utamaduni?
  3. anonymousafrica

    Tarehe 2 Februari mwaka 1971 Idd Amini alijitangaza kuwa Rais wa Uganda

    Siku kama ya leo mwaka 1971, jitu la Miraba minne Idd Amin alijitangaza kuwa Rais wa nchi ya Uganda na hii ni baada ya kugutuka kwamba Milton Obote alikuwa akipanga kumkamata kwa matumizi mabaya ya fedha za jeshi, Awali, Amin alichukua mamlaka kwa kufanya mapinduzi ya kijeshi tarehe 25 Januari...
  4. anonymousafrica

    Nas ajifananisha yeye, Biggie na Jay Z ni sawa na J Cole, Drake na Kendrick Lamar, kwenye album yake ya Magic. Awakumbuka na Wu Tang Clan

    ahsante sana Jay.... Nina maandiko kadhaa nimewahi kuchapisha humu JF, nadhani si mashuhuru kutokana na majukwaa niliyokuwa nna share.... unaweza kufwatilia pia
  5. anonymousafrica

    Nas ajifananisha yeye, Biggie na Jay Z ni sawa na J Cole, Drake na Kendrick Lamar, kwenye album yake ya Magic. Awakumbuka na Wu Tang Clan

    Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na mwisho wakaamua kukaa chini na kuyajenga. Wakashirikishana kwenye nyimbo baadhi na hivi majuzi...
  6. anonymousafrica

  7. anonymousafrica

    Je, wajua tarehe 5 Februari mwaka 1977 ni Siku iliyobeba matukio matatu ya kufurahisha na kuhuzunisha?

    Tarehe 05 mwezi Februari mwaka 1997 ilikuwa siku muhimu yenye matukio ya kufurahisha na kuhuzunisha. Kabla haujayapitia hayo matukio matatu, Kumbuka siku hii chama cha TANU na ASP viliungana na kuunda Chama cha Mapinduzi (CCM). Lakini 1. ASP ilikuwa inatimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake na...
  8. anonymousafrica

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    we jamaa tukupe tuzo aisee...
Back
Top Bottom