Tiss akiweka bullet chini, tuzipige kavukavu.
Napiga kama napiga mke wangu.
Hawanaga lolote.
Namuheshimu msoja tu, aliyekaa JKT miaka miwili kabla ya kwenda depo.
Huyo sawa......sio hawa wa njia za panya
Mchimbaji mdogo hasa dhahabu Tanzania ni mtu wa kutangatanga.......
Hana vifaa wala technology...
Ni mtu anayejaribu kuchimba kwa kubahatisha......
Katika kubahatisha hukohuko, siku atakayofumania mzigo.....katika eneo ambalo wenye technology hawatarajii.
Atapewa saa 24 kuondoka hapo mara moja...
Yale ma-hug unayaoneje?
Kuna uwekezaji hapo kweli?
Hebu tumia common sense ya kawaida.
Ni beyond normal friendship.
Watu wanaoheshimiana hawawezi kuweka distance hiyo.....
Lazima uache sentimeta 75 as distance.
Unless kama ni mume, au mtoto.
We ulimuona waziri gani akiwa naye kwenye posture hiyo
Ukijaribu kuangalia Mkoa wa Arusha una idadi ndogo sana ya waislamu kuliko mikoa mingine.
Makonda anajipendekeza kwa Rais.
Wala ahangaiki na priorities za watu wa Arusha.
Kujenga Muslim chapel pale Arusha ni kujaribu kumfurahisha Rais.
Hii tabia inakua sana.
Kupeleka kila mechi Zenji ni...
Uhuru wa mawaziri Tanzania umeongezeka...Confidence ipo juu kuliko ile miaka mitatu ya mwanzoni ya samia.
Teua tengua ilikuwa moto.
Mama alitaka kuwatengenezea hofu wateule wake ili kurahisisha governability.
Mbona kiswahili kilishaanza kubadilika.
Wanasema hivi
"Msikariri el nino sio mvua nyingi tu inaweza kuwa ukame au vimbunga"
Mimi najua El nino ni abnormal rainfall...nikimaanisha wingi na hatari ya mafuriko na uharibifu.
True! Na hili ndilo kosa walilolifanya Tanzania dhidi ya Guinea Bissau.
Waliihukumu Guinea Bissau kisa eti haifahamiki na kwamba ni ya 132th kwenye ranking za Fifa.......wakasahau ranking hazichezi
MwanaFA alipaswa kuwa full minister kuliko makonda.
FA ni mtulivu, ana hekima na Elimu kuliko Makonda.
FA ana Masters yake unquestionable kabisa.
FA Age 47
Sio mlevi wa umaarufu, He has been famous since 2002.
Makonda sasa, ulimbukeni yeye, mihemuko yeye, uhasama na watu yeye, Elimu ya...
Licha ya kushindwa kufuzu Kombe la Dunia, Cape Verde imeendelea kuonesha ushindani mkubwa. Katika mechi zake nne zilizopita ilifanikiwa kupata matokeo ya kuvutia dhidi ya timu kubwa kama:
Spain 0-0 Cape Verde
Cape Verde 2-2 Uruguay
Saudi Arabia 0-0 Cape Verde
Argentina 2-2 Cape Verde
Timu hiyo...
Makonda alibeba machawa ya serikali kwa jina jingine yanaitwa
Simba & yanga influencers hadi Morocco kuishangilia Serengeti stars.
Tukapigwa na senegal.
Kabla ya mechi akasema "Rais Dkt Samia ameelekeza timu hii isivunjwe ikae kambini hadi kwaajiri ya kombe la dunia 2030.....😆😆😆
Alipofungwa tu...
Pili, nasikia mzee Walace karia ni project ya serikali, ni lazima apeleke huko.
Hata uchaguzi uliomuweka hapo aliwawekea pingamizi wagombea wote.
Kwahiyo nchi nzima haina mwenye sifa wa kugombea urais wa federation tofauti na yeye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.