Recent content by Anonymous Buddy

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpenzi wangu haelewani na ndugu zake. Nimsaidiaje?

    Kunae demu nimejuana naye kwa miezi 6 sasa, kiufupi ni Mwanamke wangu na mahusiano yetu yanaenda poa kabisa. Yeye ni mtu wa Arusha but anaishi Dar kwa ndugu zake, Majuzi kati kulitokea kutokuelewana yeye na ndugu zake hali inayomfanya asiishi kwa amani. Binafsi sitaki kuingilia ugomvi wao...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Pick up lines...

    Hii yakumvutia ghetto au sio?? Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania Pick up lines...

    [emoji28][emoji28] umetishaaa Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Pick up lines...

    Dondosha your best pick up lines ulizowahi kutumia kung'oa demu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Binafsi namuona spika Ndugai kama moja ya maspika wabovu kuwahi kutokea Tanzania
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha foleni njia ya kwenda Bandari, Dar es Salaam

    Kwa siku mbili mfululizo nimeshuhudia foleni ya kutisha kuanzia maeneo ya Tazara, Sokota,c Chang'ombe, Uhasibu na njia ya bandari. Shida hasa itakuwa nini?
  7. A

    JamiiForums Tanzania JF special thread kwaajili ya Facts

    Ewaaah[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  8. A

    JamiiForums Tanzania JF special thread kwaajili ya Facts

    Hii ndo inaitwa tumia pesa ikuzoeee
Back
Top Bottom