Recent content by anny gervas

  1. anny gervas

    JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA

    Sure
  2. anny gervas

    JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA

    Sawa
  3. anny gervas

    JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA

    Mawasiliano 0740221261
  4. anny gervas

    JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA

    Habari wana jf Nimerudi tena na picha kimfaacho mtu chake nimekumbwa na changamoto kidogo za kuuguza so nimefikia maamuzi haya nauza nyumba ila bado haijaisha Vyumba 3(viwili master) Jiko Sebule Miguu 40 kwa 40 Store 10m maongezi yapo Eneo mbagala kwa mbiku(chaboko)2-2.5km kutoka barabarani
  5. anny gervas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari

    Ndio..mpka 23m mwisho
  6. anny gervas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari

    Mwaka 2009 Cc 1990 No turbo No sun ruff Milion 24 Gari haijarudiwa rangi na haina shida yoyote ile…mawasiliano karibuni PM
  7. anny gervas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari

    Mwaka 2009 Cc 1990 No turbo No sun ruff Milion 24 Gari haijarudiwa rangi na haina shida yoyote ile…mawasiliano karibuni PM
  8. anny gervas

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo

    Wanahitaji licence b’ness…sina!!
  9. anny gervas

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo

    Samahani wadau,nina shida ya mkopo kwa dhamana ya nyumba haijaisha yote lakini na pia nina sales agreement tu ya kiwanja maana hati miliki bado ipo kwenye mchakato..msaada
  10. anny gervas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

    Wangu kanipita 20 am 29 and he's 49 niseme tu naenjoy[emoji7]...drama zipo kidogo sababu wanaume hawakosagi mapichapicha[emoji2] kitandani yupo moto na kunijali anajali!!Sitamani tena kudate kijana
  11. anny gervas

    JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

    I donr know...ila nimelelewa vizuri ru sema i have tattoo kwa mapenzi yangu hata wazazi wangu hawahusiki
  12. anny gervas

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kazi za shambani

    Mi nahitaji Hiyo kazi kaka angu
  13. anny gervas

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya aptitude test Alistair Group

    Yeah ukipita aptitude test yao ya maswali wanakutumia email kwa ajili ya briefing ya 2mnts hivi...na mimi niliishia stage hio hawakuwahi kunijibu tena from there
  14. anny gervas

    JamiiForums Tanzania Hivi nawezaje kupata ufadhili wa kusoma nje ya nchi?

    Habari wanaJF, Samahani naombeni Mnisaide hivi Mtu anapataje sponsorship kwa mfano ya kusoma Canada, ni kwamba unaomba? Naombeni tu kufahamu juu ya hilo. Asanteni
Back
Top Bottom