ha ha ha ha ndio ujinga tulionao Africans,kweli kabisa akienda ulaya akatokea chizi mmoja akamwambia unafaa kuwa rais,aisee atakuja kutangaza nia kwamba namimi nataka kuwa rais maana nafaa hadi ulaya wamenishaur nigombee
Daah mm nikiishiwa pesa na kwenye simu niwe pia sina salio duuuh naishiwa nguvu kabisa,akili hazitulii,maana najua nikiwa na salio tu kwenye simu pesa napata bt pesa niwe sina halafu na salio sina duuuh hapakaliki
Watu mnakosaga kazi za kufanya aisee,Yan mnakesha kwenye mitandao kuongelea maisha ya mwenzenu,Jaman tafuten pesa,tafuten pesa,pesa ndio kila kitu kukaa mnajadili maisha ya mtu wala haiwasaidii!!!Tafuten pesa guys
Ww si strong umeanza kuogopa nini ha ha ha ha!Anyway nimekua nikishuhudia vifo vya watoto wa dada yangu na wanasema tatizo ni magroup ya dam ya wazazi,Yan mtoto akikaribia kutembea baaasi anafariki,imekua ikiniumiza sana nimeona ni heri nije humu tujuzane mapema
Kwahiyo ni vyema kuoana wote mkiwa na rh zinazofanana?Kama ni positive wote muwe positive na kama negative wote muwe negative ili kuepuka matatizo hayo hasa kifo cha mtoto?
Wanajamvi,Hivi kuna umuhim wa kujuana groups za damu kwamba zinaendana or not??Jee nini madhara ya groups kutokuendana??Na jee group O aoe mtu wa group gan?Group A,AB pia wafaa kuoana na watu wa groups zipi?
Muone Dk Mwaka yupo dar,tatizo hilo ndio itakua mwisho wake!!Sina namba zake za cm bt unaweza ulizia Dk Mwaka ukselekezwa alipo na ukaenda kupata tiba,au jaribu kumgoogle utapata mawasiliano yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.