Recent content by annarosemary

  1. annarosemary

    JamiiForums Tanzania House4Rent Vyumba na Nyumba za kupanga Dodoma mjini

    Asante,nitawasiliana nawe
  2. annarosemary

    JamiiForums Tanzania House4Rent Vyumba na Nyumba za kupanga Dodoma mjini

    Ipo maeneo gani?
  3. annarosemary

    JamiiForums Tanzania House4Rent Vyumba na Nyumba za kupanga Dodoma mjini

    Nyumba ya kupanga inahitajika. Iwe maeneo karibu na chuo cha UDOM,vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,public toilet ya ndani na jiko. Na iwe na imezungushiwa ukuta na kuwa na nafasi ndani yakuhifadhi Gari. Pia umeme, Maji,usalama na majiran ziwepo.
  4. annarosemary

    JamiiForums Tanzania Pesa: Kuandika Katiba ya NGO

    Habari naomba nitumie hiyo sample kwa e-mail annagik04@yahoo.com. asante
  5. annarosemary

    JamiiForums Tanzania Nimepata scholarship UK ila napaswa kufanya mtihani wa IELTS

    Hongera Pitia website ya British council itakupa mwongozo mzuri kuhusu huduma hiyo ya mitihani,test centres,mafunzo na gharama. Pia waweza fika office zao Dar es Salaam... Google map itakuonesha zilipo kwa maelezo zaidi.
  6. annarosemary

    JamiiForums Tanzania Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

    Neno litasimama neno litasimama mambo yote yatapita ila neno litasimama...
  7. annarosemary

    JamiiForums Tanzania Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

    Mfupi mfupi ,Zakayo mfupi mfupi tu Yeye alipata juu ya mti ili amwone Yesu,Yesu alipofika pale akatazama juu akasema!Zakayo shuka chini,nitakuja kwako Leo...
  8. annarosemary

    JamiiForums Tanzania Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

    Ndani ya safina ndani ya safina na watoto wote abhee ndani ya safina wote tuingie...
  9. annarosemary

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji nyumba, kuuza nyumba au kupanga Nyumba tukutane hapa

    Natafuta Nyumba ya kupanga iwe ina room 2 au 3 za kulala,sebule,jiko na kuwa na nafasi nje ya car parking na iwe na uzio. Ikiwa inajitegemea kwa bili ya umeme na maji itakuwa nzuri zaidi. Iwe karibu na barabara kuu ya kuelekea morogoro. Maeneo yawe kimara mwisho,mbezi(ya kimara).
  10. annarosemary

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

    Hongera sana. Je, gharama za machine zikoje?
  11. annarosemary

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kampuni gani nzuri kwa bima za magari

    Ofisi zao zipo wapi?
  12. annarosemary

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kampuni gani nzuri kwa bima za magari

    Advantages gani hiyo?
  13. annarosemary

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Mbezi Juu (Dsm)

    Namba yako ya simu
Back
Top Bottom