House4Rent Nyumba inapangishwa Mbezi Juu (Dsm)

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
857
395
Dar es salaam Mbezi juu unaingilia Makonde au barabara ya Goba. Nyumba ya vyumba 2 , sitting room , jiko, bafu, choo na ni fenced.
Luku inajitegemea maji kuna tank juu la kujaza.
Bei laki2 kwa mwezi na malipo ni kwa miezi6.
1468141804392.jpg
1468141813184.jpg
1468141819085.jpg
1468141826645.jpg
1468141832355.jpg
1468141890052.jpg
1468142007242.jpg
1468142017919.jpg
1468142027539.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom