Kwakweli hii sijaipenda, hata kama mimi si muslim, hii naona kama ni kauli ya kichochezi, nasikiaga wanasiasa wakisema! na nadhani hii ni moja wapo! na kama wewe uliyeandika nawe si mwislim, basi utakuwa mpagani, maana katika Maandiko nayoyajua mimi, sijui wapi inakuruhusu, kumwona jirani yako...