Recent content by annamwombeki

  1. A

    Timu Nimes'tuka yaingia Igunga kwa Kishindo

    au wako kwenye shooting zao
  2. A

    Timu Nimes'tuka yaingia Igunga kwa Kishindo

    hawa wanatangaza nini vile ?
  3. A

    Nimeombwa hela ya wigi 300,000/= kuna wigi la bei hiyo?

    mpe hizo hela mbona mchepuko unamwachia briefcase nzima bila kumwuliza anahitaji kiasi gani we vipi?
  4. A

    Bilionea Alhaj Aliko Dangote ni CCM?

    huo ni muendelezo wa kamba za mag..l ni nyingi na watz zimeshatukinai
  5. A

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    sawa na ratiba za ibada zake zikoje maana zisiwe za usiku sana
  6. A

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    naomba mnielekeze kanisa lake tafadhali nikasali huko
  7. A

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    rekodi inaonyesha wazima ndo wanatangulia kufa kabla ya uchaguzi wamefika wangapi vile?
  8. A

    CHADEMA asilia mko wapi? Mbona Lowassa anaongozana na wageni wenzake tu?

    tukiuliza magufuli anaongozana na nani inakuwa kosa?
  9. A

    Watanzania hatutaki Rais Fisadi

    that's how it is in reality
  10. A

    Watanzania hatutaki Rais Fisadi

    kama ni hivyo bora tumpe fisadi aliyetosheka kuliko tumpe mwenye njaa aanze kutembeza bakuli
  11. A

    Watanzania hatutaki Rais Fisadi

    naomba kuuliza ni nani aliyekaa ikulu akatoka bila kufisadi nchi kumtoa nyerere naomba jibu
  12. A

    CCM nendeni mkafanye mdahalo wenu feki

    nakubali na mimi hawa watu kwa kucheza rafu ndo wenyewe ukawa wasikubali changa la macho hilo
  13. A

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Geita - Septemba 23, 2015

    hii ni fasheni ili watu wapige hela tu hakuna lolote kadi zinachapishwa na kupewa watu ili kwenye mikutano waonekane wamezirudisha na kuhama chama ,hakuna maana yoyote subiri 25/10
  14. A

    Mgombea anayekataa midahalo hatufai

    midahalo haina tija ndo maana hakuna hata kiongozi anayeitaka ila kwa kuwakata ngebe chama fulani mdahalo uwe wa kiingereza ili tupime kweli viongozi wetu hawatahitaji wakalimani watakapokuwa kwenye mikutano nje ya nchi
  15. A

    Taarifa kwa umma kutoka CCM : Wazungumzia Kuhusu Mdahalo na Utafiti wa Twaweza

    kwa nionavyo mimi mgombea ukawa asishiriki kwenye mdahalo ili iwe ni formula ya ushindi maana 2010 mgombea wa ccm hakushiriki na akashinda hivyo na ukawa wasishiriki ili washinde
Back
Top Bottom