Recent content by Annalito

  1. Annalito

    Msaada wa kisheria tafadhali

    Ninaomba msaada wenu wakuu. Kwenye makaburi ya kinondoni alipokua amelazwa marehemu mama yangu kuna kaburi la mtu mwingine na limejengelewa haswa. Nini nifanye nipate haki ya sehemu ya mama yangu? Mama yangu alifariki mwaka 2001 na hatujakuta hata msalaba. Na huyo waliyemzika amezikwa 2021.
  2. Annalito

    Seeking for advise

    Walizingua sanaaa walituambia tusubir feedback tcu but hakukua na any feedback Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Annalito

    Am looking for any part time job mwanza

    How Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Annalito

    Am looking for any part time job mwanza

    Be serious ww Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Annalito

    Am looking for any part time job mwanza

    Kama nini Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Annalito

    Am looking for any part time job mwanza

    Anna nipo mwanza natafuta part time job Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Annalito

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Mim account yangu haina maandishi kwenye status. Hata yale ya succesful received hayapo
  8. Annalito

    Wale mliokosa chuo 3rd round

    Third round tayar wametoa?
  9. Annalito

    Maoni:Kwa vyuo ulivyoapply, ni chuo gani mfumo wake upo vizuri, chuo gani kirekebishe mfumo wake wa usajili, toa changamoto kwenye mifumo ya usajili?

    Mimi nimepata shida sana na chuo cha saut. Walipotoa second selection siku hiyo hiyo jioni nilipokea simu kuwa wamenichagua kwa kozi ya law ila jina halikuwepo kwenye list nimefatilia sana majibu waliokuwa wananipa ni kua niende kufanya usajili jana nahakikisha tena wananiambia mara majina yetu...
  10. Annalito

    Seeking for advise

    Kwenye account yangu there are no updates kama am selected or not alafu hakuna admission number wala nin wenyewe wananiambia niende during registration tareh 15
  11. Annalito

    Seeking for advise

    Kwanin unijibu hvyo cheusi mangala? Atimes use wisdom me nimeomba ushauri tu na nimepewa hopes by the way am not a fun of instagram nor any other social networks. Na kama nlikufollow insta just unfollow
  12. Annalito

    Seeking for advise

    Sawa nashukuru kwa ushirikiano wenu
  13. Annalito

    Seeking for advise

    Okay let me wait and hope for the best maana
  14. Annalito

    Seeking for advise

    Daaah! aisee! Kuna mtu kanipa namba hapa na nmewapigia tena wameniambia kuwa kama kuna ujumbe nlipokea basi nisubiri na ni kweli ujumbe nlipokea . Wameniambia siko peke yangu kwenye hili tatizo. Mimi naweza kuelewa ila wazazi sasa ndo kimbembe
Back
Top Bottom