hee ivi mbowe anakunyima usingizi usije pata pressure ua unamwonea wivu ? moyo wako una nywele wala huna lolote
sendeka hana elimu ya darasa ila ni mtu anaeweza kujieleza nafikiri hivyo
Ama kweli kwani lazima uwe chadema? KWAKUWA LENGO LAKO HALIKUTIMIA sasa umeanzana na Halima wivu utakuuwa unaona Halima na mnyka tu Iddi Azan ;mamposa huwaoni ---- sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.