Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,968
- 288,175
atakuja analia kuomba msamaha hata hivyo ccm bado inamtaji watu wa kutosha kurujesha kata.tupo imara kama mlima
nimekuonea huruma sana !
atakuja analia kuomba msamaha hata hivyo ccm bado inamtaji watu wa kutosha kurujesha kata.tupo imara kama mlima
Huyu Bajuta ni zaidi ya kiongozi, mtu yeyote aliyejitambua hawezi kuwa ndani ya ccm.
Mwezi January juzi tu wananchi waliandamana mpaka nyumbani kwake, wakamwambia tunamkubali sana, lakini atoke tu ndani ya ccm maana kuwepo humo ni kushiriki usaliti unaofanywa na ccm
Wewe aliye jiuzuru ni wa ccm sio chadema,,vijana wa ccm mtaacha lini kukurupuka jamani?? Yaani utafikiri hamna vichwa eti,hapa kaandikwa diwan wa ccm aliye jiuzuru habari za chasdema zimetoka wapi tena?
Je ni kweli anahusika na vurugu kati ya wakulima na wafugaji katika eneo lake?
Je ndiye mwanasiasa aliyelalamikiwa na mkuu wa wilaya
Diwani wa CCM Kata ya Endesh Jimbo la Mbulu Gesso Bajuta amejiuzulu wadhifa huo.
Akizungumza na waandishi wa habari Diwani huyo ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu alisema amechoshwa na ubabaishaji uliopo ndani ya CCM.
Diwani huyo amesema CCM imekuwa ikimuingilia katika majukumu yake na hatimaye kukwamisha maendeleo ya wananchi.Amesema kamwe hawezi kuvumilia na kuwa msaliti wa wananchi wake waliomchagua.
Source:Mwananchi Ijumaa Feb. 21.
uamuzi wa maana bora kuachana na chama cha w.a.kwe.re na wasomali waliobobea madawa ya kulevya na kuuza pembe za ndovu
Mkuu unamuita huyo? Ha Ha Haaa..! Akija tu buku saba leo hamna.
juliana shonza litolee ufafanuzi.
mkuu magamba wamedata,sawa na mtu aliyepofushwa macho ghafla akiwa mfano pale kariakoo.
Wao wamenunua wale vibaraka wao wa Shinyanga.Lakini huyu kaamua kujiondoa kupinga vitendo vyao
atakuja analia kuomba msamaha hata hivyo ccm bado inamtaji watu wa kutosha kurujesha kata.tupo imara kama mlima